Nini shida na wewe???? Ama ni kizungu ndio huelewi???? Nairobi is only second to Jo'burg!!! take it to the bank
Dar es salaam na hili halina ubishiKati dar es salaam na nairobi kwa kukadilia ni jiji gani lenye magholofa mengi sana?
Ongeza brt, daraja la kigamboni na vyengine vingi tuHongera serikali ya kikwete kwa kujenga TPA na pspf watu hapa wangekosa cha kupost
sent from iPhone 7
Ni Bongo,Kati dar es salaam na nairobi kwa kukadilia ni jiji gani lenye magholofa mengi sana?
utawasikia unplanned....hicho ndiyo kisingizio chao ila ukiwauliza wapi julipo unplanned kwa sasa hawana msjibudar city
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

HEDEN.......Hakika ipo Tanzania
DAR Ndiyo baba wa east and central africa.............soon tuna badilisha mind ya duniaKati dar es salaam na nairobi kwa kukadilia ni jiji gani lenye magholofa mengi sana?
