Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jiulize mna nn cha kuwafanya watu waelewe unayoyasema...lol kwa picha mkizotuma tangu January hadi Leo nairobi ni dar tu mnatuzidi barabara na vidaraja viwili vitatu

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio maana nakuambia tumezoeana sana hadi mnadhani dar na Nbo ni rika moja. usione bullet train inakaa kichwa cha nyoka ikakuzingua
 
the second CITY of Africa Nairobi City aisee ni kuzuri
2f0550d848451a02a07955f870a1bd04.jpg
7e0225a084d241c420b5cc9a30051c25.jpg
0ecb51dd6ab4b097af839a168799256a.jpg
 
wadanganyika hunishangaza. umeona brt leo na tutower tuwili tumesmama apo... tayari unakurupuka na kuja mtandaoni eti dar is ahead of Nbo.
there is more to a city than that bullet train in Casablanca
CHOKORAA wa nairobi unavituko....
 
Huu mchakato unakwisha ndani ya huu mwaka 2017
5d76a8aeba85625fe66e1833d01c8909.jpg



HARAKATI ZA KUCHAKARIKA

4285ec56c8bc786679f0bae6066b793b.jpg
 
kila city iko na worst hoods na awesome ones....usidhani SA cities ni kuzuri kila mahali....tembea east joburg utashanga sana
 
dar 92% ni mazingaombwe
Acha uongo , Nairobi hakuna maali itatoka kwa DSM
The only thing ambacho mnaicha DSM mbali ni kuwa na makazi duni ambayo yanajulikana worldwide the great Kibera and its fellows

spensa_e
 
Back
Top Bottom