oya wee bichi kidimbwi hebu skiza bana...hakuna project yoyote hukosa kulipiwa...Hpa ni plus kwa kenya kwa sababu gani?....hatutumii pesa zetu kama nchi...baada ya 27 years barbara itakuwa free for all...for now jamaa watakusanya hela zao walizozitumia...halafu baada ya 27 years warudi zao..Hiyo barabara ni aibu kwenu mtachekwa africa nzima mchina anakwenda kuikolonaizi kenya ,nashangaa wakenya mnapata wapi moyo wa kuishabikia hiyo barabarandiyo maana komora096 sijawai kumuona akiongelea wala kushabikia hiyo barabara ya kulipia mali halali ya mchina
- muda wote huu mchina ataajiri wakenya hapo wakati wa ujenzi na baada ya ujenzi...faida kwa kenya
- muda wote huu ushuru utatozwa....faida kwa kenya
- barbara imeirembesha kenya zaidi.....faida kwa kenya
- Bara bara itapunguza msongamano pakubwa na kuimarisha uchumi....faida kwa kenya
- Sio kila mkenya atailipia barbara hii, ila wanao itumia tu.....faida kwa kenya
- Baada ya 27 years ..mchina ataenda zake iwe amepata faida au la....ffaida kwa kenya
