Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha ya wallpaper-Dar es Salaam

Screenshot_20220203-221444.png
 
Hata wewe utazeeka lakini kama ulifanya kazi uzee wako hautakuondolea uzuri na legacy yako
Tzn hii ina wahandisi wengi Sana,huyo Babu yenu alikuwa anasinzia tuu uzee umemzidia..

Kuanzia kwenye sgr,Bwawa la Nyerere na miradi mingine ya madaraja umewahi kumuona mfugale ndio yuko site?..

Mama hapendi kupepesa vitu, jiwe kumbe kakopa
Marehemu km angelikua hai basi hilo daraja tungeliambiwa mumetumia hela za ndaniView attachment 2106756
Historia ya project inapindishwa ili kumpa JPM credits na kusahau mtu aliyeanzisha na kuitafutia fedha wakati huo JPM akiwa waziri wa ujenzi.Sote tunakumbuka JK alifanya ziara south Korea akaongea wampe concessional loan kwa ajili ya kujenga hili daraja wakakubali na Mwezi March 2015 kila kitu kikamilika na design ikatolewa hadharani kilichokua kimebaki kumpata mkandarasi na mobilization ya Project.JK angeweza kuizindua mwenyewe lakini hakuhangaika kwa aliyemwachia ni waziri wake anayeijua project.Hivyo Daraja hili sio msaada tunadaiwa na tutalipa.Pili Marais wote watatu JK,JPM na SSH wapewe credits.Mwisho hili ni fahari ya Tz sio mtu Fulani
 
Yani hiyo express niupumbavu kwetu barabara ya kipuuzi isiyo na tija kiuchumi bora mngejenga likoni ,tungewaona mko na akili
kuna comment zengine kama hii🙈
Vipi brother breath in and out upunguze wivu!!!😜lamba lolo boss
 
Back
Top Bottom