Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

The Sunk Cost Fallacy roadshows za Magu kumbe zilikua zinambamba mama 😂😂😂 na kumbuka ulikua unamchukia sana JPM kwa haya maamuzi ya roadsides, 🤣

Sasa kiko wapi? Mama kaambiwa bila kutumia JPM approaches hakuna mtanzania atamuelewa.
Wewe acha kukurupuka,Rais kama alivyosema alishapata taarifa kitambo tuu na amechukua hatua..

Mwendazake ndio alikuwa anafanya maigizo,SSH hafanyi maigizo She is cencerely..

Tunaendelea kusisitiza,kula kwa urefu wa kamba yako,ukivimbiwa tunakula kichwa na unapandishwa kizimbani.
 
hii habari watajifanya kama hawaioni😂😂
Tayari wakulima wao washapelekewa kilimo huko 😄😄

Screenshot_20220204-141041.png


Screenshot_20220204-141053.png
 
ati senyenge hivi vitu ni technology haipo kunyaland ndo maana unaita senyenge! BTW hako kadaraja Mombasa kana span hata ya 200 m?
i swear ni hizo pillars na seng'enge tu... othrws ni ndugu ya nyali bridge, wa toka ni toke
 
Back
Top Bottom