Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii direct flight to the US should be a big priority. Yani wangeweza anza huko kabla ya hata ulaya. Demand ni kubwa sasa. Tena waende DULLS au hata ATLANTA.
 
Mbona ukutuambia siku za nyuma kuwa na nyinyi mna task force [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117]naona mama anazidi kuji[emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Uliambiwa na nani kwamba task force imevunjwa? Kwani umesikia kuna mtu analalamika kubambikiwa Kodi?
 
Sasa sindiyo alivyo fanya JPM nyinyi wanuka kinyesi mkamkashifu humu au unadhani tumesahau
Kwenda huko ,angefanya hivyo sabaya asingekuwa kortini saizi wala makonda asingekuwa anashitakiwa..

Mwendazake alikuwa mporaji na mbambikia watu kesi Ili awapore pesa.Task force ya Sasa inatoa elimu na kufuatilia wakwepa Kodi..
 
Mabenk mengi madogo yaliokua yakitengeneza hasara Magufuli aliyaunganisha na haya ndio matunda yake, mengi saivi yanafanya biashara kubwa na faida kubwa kuliko awali, mama yako mtoe hapo


Eti aliyaunganisha 😀😀,yalijisalikisha kwa mabenki makubwa,mbona saizi hayaunganishwi na faida yanapata..

Kwa uchumi gani huo wa Mwendazake wa kupora watu pesa na kuulizwa ulikotoa kampuni zingepata pesa? Hata wakopeshaji binafsi waliongezewa masharti lukuki hadi wakapotea...

Mwendazake alijua kuswaga watu wajinga ila kwenye mambo ya uchumi alikuwa mweupe kama puto kajaa vacuum tuu.
 
Mbona kuna kijana huko Mtwara kaporwa million 70 na police kisha kauawa nae katumwa na Samia?
 
Sasa huoni tangazo na bot kuyaunganisha kwa sheria?


 
Mbona kuna kijana huko Mtwara kaporwa million 70 na police kisha kauawa nae katumwa na Samia?
Ni TRA au ni polisi wachache Wahuni? Mmoja wa hao polisi ni yule alikuwa kwenye kikundi cha wauaji kilichoratibiwa na Makinda na Sabaya..

Saizi wako ndani,enzi za Giza wangeporwa na hakuna media ingeripoti tungeishia kuona vifurushi vya maiti baharini.Majambazi wakubwa nyie.
 
Majambazi ni wanaohalalisha watumishi wa umma watafune mali za walalahoi kwa kauli ya kuleni kwa urefu wa kamba zenu na hata hicho kikundi cha police kilichoiba milioni 70 na kuua kulikua kinatekeleza maagizo ya mama yako.
 
Umeandika kinafiki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…