Polepole wanaungana na sisi 😂😂
we just can't compare with 'LeastDevelopedCountries' like Tanganyika ..
events kama hizi za kizungu, tanganyika ni lini litafanyika?.. say beyond2075.!
int'l concorde de'leganceView attachment 2104513View attachment 2104514View attachment 2104515View attachment 2104516
horse racingView attachment 2104517View attachment 2104518
WRC world rallyView attachment 2104521View attachment 2104519View attachment 2104520
kenya is comparable to the western world in so many ways..





Anafaa kuwa president ajaye sema tatizo.........Yaani huyu jamaa nilimuelewa akiwa naibu waziri mpaka sasa

Safi sana, Mungu huwa harudishi wema kwa ubaya.Wakati Mwl akikomboa Mataifa mengine, Kenyatta snr alikuwa akila mtura na kulamba tanyee za wa Magharibi! Ona rewards za good deeds sasa na msipate wivu..!
Wananchi kwanza,Nashangaa kuona Wabongo mnaambiwa muanze kulitumia daraja siku ya juma nne kabla ya mama kulizindua rasmi? Si mama angelizindua kwanza ili na nyie vigogo muanze kulitumia daraja? Au mama hapendi mbwembwe za uzinduzi wa miradi? Uzinduzi wa miradi ni njia rahisi ya yeye kupata uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.






















sooo???😕
Apparently hii ndio ulaya ya East Africa 👇🏼😂😂😂😂mko nyuma yetu by far, ona Ulaya yenu hii hapa
View attachment 2105200View attachment 2105202View attachment 2105203View attachment 2105204View attachment 2105205View attachment 2105206
Wewe na muandishi wote hamna akili, ss hapo kuna daraja hapo liko wapi? Yani shambani unataka kuwe na daraja kama la kigamboniApparently hii ndio ulaya ya East Africa






ningesema mm wangenichukia bora umesema wewe😂😂😂😂We komora096 mbona unawaza kama mtoto?sasa urefu wa iyo viaduct hapo Nairobi utafanyaje na dar ilihali yenu unapata mbugani? Length cannot be the same but they're all serves the same purpose ....tuache baseless arguments
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Waziri mkuu kajihalibia sana alikuwa mwanafunzi no 1 wa magufuli ila kumbe ni zuzu tuAnafaa kuwa president ajaye sema tatizo.........![]()