Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FKajc7VXwAASGLx.jpg
 
11 million MT of cement production p.a bado hamjafika Geza wacheni kujidanganya. Huyo Somi sijui ana matatizo gani.
cc coodip1
Acha ubishi wewe kama 2019 Tz cement production was over 8mmt/pa ukiongeza Dangote 3mmt/pa + expansions done at Tanga, twiga , new producers such as lake cement etc unafikiria production itafika ngapi? It is more than 11mmt/pa
Screenshot_20220202-063533_Opera.jpg
 
Wewe umechanganyikiwa. Hatuongei kama TZ imeipita KE, tunaongea kama TZ inaproduce 11 milliom metric tonnes of cement per year. Mimi nasema huo ni uongo, wewe unasemaje?
Kwahiyo hesabu rahisi kwenye hiyo graph umeshindwa kuchanganua ama hutaki tuu kushughulikisha kichwa?

Ngoja nikusaidie basi 20.81 mmtpa ya east africa x 45.2% ya Tz unapata 9.4mmtpa hiyo ndio installed capacity ya Tz in 2019. Sasa add Dangote cement 3mmtpa, plus other expansions at twiga, tanga and new entrants hazitafika 11mmtpa?
Screenshot_20220202-063533_Opera.jpg
 
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mko nyuma yetu by far, ona Ulaya yenu hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2105200View attachment 2105202View attachment 2105203View attachment 2105204View attachment 2105205View attachment 2105206
Sasa ufukwe wa koko Beach usafishwe na kujengwa vizuri ,usafishwe nje ya maji na ndani ya maji kuondoa matumbawe yote maana kunawale wadudu wapo kama vitenesi weusi wana miba miba wanaumiza sana watu pale koko,panatakiwa pasafishwe ndani ya maji kuondoa ukoka wa miamba kwenye sakafu ya bahari maana ni eneo la kuogerea watu ,pia wamwage mchanga mpya na kupanda minazi mipya ,hii kazi mkuu wa mkoa inakuhusu
 
Back
Top Bottom