Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Namchora tu, anaonekana hata hamu hana, unajua jamaa anajitesa bure kujifanya kumkubali rais wa sasa kisa tu ana chuki na mtangulizi wake, anajipa tabu bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We mkenya ni fala wa kupindukia.
DAILY NANUNUA SUKARI ROBO 650 NUSU 1300 KILO 2600.
UKIISHI MAENEO KARIBIA NAI VIWANDA VYA SUKARI KILO MPK 1800 YA SUKARI MATHALAN KILOMBERO.
Hahaha!!kwhyo unaleta bei ya sukari za kupimiana mitaani sio[emoji1787][emoji1787]
Hata hyo bei uliyoitaja bado iko juu kw kenya mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…