Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,227
- 107,854
hivyo vichwa viliagizwa chini ya Magufuli msitake kusingizia ati mama! Hivyo sogeza na vile vingine vyote vinatoka Malaysia! Na actually subirini seal itolewe vichwa ni vya kisasa!Tunatakiwa tupige kelele wasije kutuletea mabomu ya nyuklia kwenye SGR mana washaanza upumbavu.
Hiyo ni train ya ufundi MGRNimecheka sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji117][emoji2781][emoji706]View attachment 2103255
Hata zile scrappers pale Wilson zinahesabiwa huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna wenye wako na helicopters tano pekee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui tulikosea wapi, huyu ndio alifaa kuwa VP, tumeenda kuangukia janga!
Huyu mwamba Ana akili sana Ana fikra fikra kama za jpm ila huku bara utaskia watu wanasingizia uviko
Mnampenda akifanya mambo ya hovyo, akisema SGR itafika DRC mnasema Tanzania inajitutumua kufanya miradi isio na uwezo nayo 🚮🚮🚮🚮na baadooooo...... mtajua hamjui.!. suluhu ako na suluhu kamili kwa watanganyika wote. suprises ka hizi inamfanya awe maarufu ata zaidi.. inadhiirisha kua yeye ni mama mwenye bidii sana..
huyu mama nampenda, ata ntampigia kura, zamu ya uchaguzi ukifika..
(anyway msikonde.. ivo tu ndo kunaendaga, mtazoea tu)
Shunting na ufundi piaWacha upuuzi nawe kwahiyo unataka kusema procurement ilifanywa wakati wa Samia na si Magufuli? BTW hivyo ni vichwa sogeza!
Hatuangalii usasa pekeake bali pia efficiency.hivyo vichwa viliagizwa chini ya Magufuli msitake kusingizia ati mama! Hivyo sogeza na vile vingine vyote vinatoka Malaysia! Na actually subirini seal itolewe vichwa ni vya kisasa!
Mie nimesafishika moyo baada ya kuambiwa ufanisi wake.Mbona zimeingia kimya kimya sio kama zile zingine 😅 anyway cha muhimu ni MGR hatutaki aibu kwenye sgr
Ni upumbavu huu mkuu, WB imetoa pesa ya kutosha, wangeteneza policy hawa watoto wajengewe shule za mabweni kwenye kanda tofauti Tanzania sababu hata hivyo hawapo wengi kivileAcha tu nchekeee kwa utahiraaa huu ,soon tutakuw n mimba za kutoshaaa
Ndugu yangu muda umefika sas wakuhamia jukwaa la siasa.. naona umeachana na lengo la huu uzi we unajadili siasa tuIla hata kama ni mgr hapo kuna sera za kula urefu wa kamba za mama samia na mzee wa msoga
Ngoja Geza Ulole aje,utamsikia anavyomtetea huyu mama,dah,huku ndo Kula Kwa urefu wa kamba aliosemaHii ni aibu y mwakaaa kabisa,..watu wamesha tafuna ela kimyakimya kwa tiket y kichwa cha train
Wacha upuuzi nawe kwahiyo unataka kusema procurement ilifanywa wakati wa Samia na si Magufuli? BTW hivyo ni vichwa sogeza!
Acha upimbi,vya Magufuli hivi hapaWacha upuuzi nawe kwahiyo unataka kusema procurement ilifanywa wakati wa Samia na si Magufuli? BTW hivyo ni vichwa sogeza!
Hapo niwapi mzeeHili eneo linaenda Kuchallenge pale Maeneo ya Mlimani city na ile Tower ya Blue.
Hapa pembeni inapigwa GPR ( Golden Premiere Residence) ambayo pia ujezi wake ulisimama sambamba na huu mradi.
Hapo niwapi mzee
Ndio zinepanda ila amesema ili kukabiliana na iyo hali atashusha kodi ili bei ya vyakula ishukebei huku pia zimepanda kama bara usidanganyike na siasa
Tatajua hatujui wapi wewe izo behewa za mgr zetu zisikupe kiburi mtatiii tuu treni za umeme zikifikana baadooooo...... mtajua hamjui.!. suluhu ako na suluhu kamili kwa watanganyika wote. suprises ka hizi inamfanya awe maarufu ata zaidi.. inadhiirisha kua yeye ni mama mwenye bidii sana..
huyu mama nampenda, ata ntampigia kura, zamu ya uchaguzi ukifika..
(anyway msikonde.. ivo tu ndo kunaendaga, mtazoea tu)