Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mtu asiyejua kwamba JPM ndiye Rais bora kuwahi kutokea hapa Tz kando ya Nyerere hata wakunya wa humu wanajua hilo, ukiona mtu anaongea kinyume na hivyo juwa kwamba anajiongopea mwenyewe na anajua kwamba anajiongopea, wengi wanaomponda ni wale wabinafsi waliokatwa mirija ya upigaji, ss mama yao amewaruhusu wale kwa urefu wa kamba yao ila hawatoweza na kilio utakisikia mda c mrefu.
 
We nawe acha kutuchekesha.
Hivi hiyo miradi nani kaisimamia mpaka ikasimama!?
KATI YA MSEMAJI NA MTENDAJI NANI NI BORA?
KIKWETE ALIKUA ANA CHEO KM CHA MAGUFULI KWANN ASINGEITEKELEZA HIYO MIRADI HT KM KAIFIKIRIA YEYE?
HIYO INAONESHA WAZI KUWA NI MTU WA MANENO SIYO WA VITENDO.
Nakwambia hakuna rais alohamasisha utendaji kazi km Marehemu.
Uliza hata watumishi wa umma wanalijua hilo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchana nilikua location napiga vyombo na tayari nilikua High, nilivyoliona nilishtuka sana[emoji1787].
Mkuu hili dude mikosi 😂huyu mkunya kalitoa wapi hili leteni source ili tujadili vizuri 😂🤣🤣
 
Tunataka uchumi urudi kwa wananchi kama hivi sio uchumi wa kupika data na kujisifia propaganda .cc sukuma gang leader lwiva [emoji16][emoji16]
Wachw kubwata utahira hapa, uchumi gani unao uzungumzia hapa ww kizuu, maisha yamezidi ugumu watu wanalia uko apa kuimba pambio za kipuuzii,wakati unabwatuka u ajua mfumuko wa bei ukoje Tz sahii?wacha ujinga apaa
 
We hiyo story ya alfulela hulela umeisikia wapi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha tu nchekeee kwa utahiraaa huu ,soon tutakuw n mimba za kutoshaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…