Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upumbavu wa karne huu, ndiyo nn ss [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Kaka i beg to differ mzee...elimu inasaidia sana kwenye development..unataka tuongeze Poverty rate kisa tu hujawaruhusu kurudi shule.....ninachotaka wawe na special school zao wasiwe mixed na wengne ambao sio wazazi .
 
Muheshi usitusahau after mambo zote hizo..

Najua waenda kujipanga.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uwe unakuja siku moja moja kutusalimia.
 
hungoji kuona FID EACOP ikisainiwa maana wewe na wenzio mlikuwa mkibisha humu!
 
hio reli umeona ni SGR [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au MGR kweny ni SGR alaf unichukie bure tu
Hivi tena mmenza lini kununua vitu sura mbovu, lkn siwezi shutuka kw sababu tz treni zote sura mbovu
 
haya oneni sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] source nairobi wire yani jamaa wanatengeza habari za kuichafua tanzania sijui kwa faida ya nani
Na save hii comment for future..
Yani nakuchapa nayo vibaya
 
Kaka i beg to differ mzee...elimu inasaidia sana kwenye development..unataka tuongeze Poverty rate kisa tu hujawaruhusu kurudi shule.....ninachotaka wawe na special school zao wasiwe mixed na wengne ambao sio wazazi .
Mkuu kuna kasumba imesambazwa kwamba waliojifungua wamekatazwa kusoma, hiyo sio kweli kabisa, ni kwamba wanaweza kusoma private schools au akawa mtahiniwa wa kujitegemea, lengo ni kutowamix na watoto wadogo kama hapo walivyofanya.
 
Cable car ndiyo mbaya kwa vijana local, hao vijana wataendelea na kazi za kupandisha na kushusha watalii ,tusiwe vipofu wa kutokuona mbali kwa sababu ya hofu ya ajira ,maana kama kwa kufanya hivyo navyo sema watalii wataongezeka mara 4 ya wanaokuja wewe huoni tutakuwa tumetengeneza ajira zaidi,maana sijui watu wanaopanda huo mlima wanakwenda toilet wapi?wakiwa huko juu kuhusu hotel siyo za gorofa ni ni vijumba vya kitalii na open restaurant
 
Hayo ni matunda ya mjambiani mpumbavuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…