Kwani zamani siilikuwa inasafirisha Nugu za kenya ??? The same thing[emoji23]
MY TAKE
kelele nyingi huku KQ ikienda mswaki, saahii inasafirisha monkeys! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mazwazwa hamtakaa muishe Duniani ..Mbona zenji visiwa vinahalibiwa unasifu kuwa ni uwekezaji [emoji241]mlima ni wetu wabara uhalibifu ni kukata misitu siyo huo ujenzi ninao pendekeza huko juu nikukubwa sana wanaweza kujenga miundombinu rafiki kwa kuvutia utalii zaidi maana kuna hali ya barafu
wacha kuita J'burg kwa barabara poor quality!yani mutaitina are you sure this is not joburg.?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787] mje mchukue muone mkong'oto wakeMnakulia sana mlima wetu. Siku moja tutakuja kulichukua.
kelele za chura sio jambo geni huku. hio tumezoeawacha kuita J'burg kwa barabara poor quality!
J'burg several years after being built
VS
Kunyaland road before completion!
Anko hivi unawajua watz vizuri wewe hahahah acha tu..Nyie sema huwa mnapenda kuongozwa kidikteta. Mkiongozwa kiupolepole mnamchukia huyo kiongozi. Mnapenda watu kama Nyerere au Magufuli kwa sababu hawakuwa wanapenda upinzani na walikuwa wakali mno. Mnawachukia JK na mama huyu kwa sababu ni wapole na wastaarabu ambao hawapendi fujo na sinema. Nyie huwa mnapenda mtu anayewapiga ngumi na mateke ili mhisi kwamba mna kiongozi shujaa. Magufuli alikuwa amewasoma saikolojia yenu vizuri sana. Alijua asipowapiga mangumi na mateke, mtaanza kulalamika kwamba rais hajui kufanya kazi yake.
MY TAKE
kelele nyingi huku KQ ikienda mswaki, saahii inasafirisha monkeys! 🤣🤣🤣
Kuna watu walikua na mpango wa kuunganisha airline na SAA,
Huyu jamaa sijui ni kama kuna Mkenya alimfanyia madhambi. Mkenya aliyemkosea huyu jamaa alituingiza mashakani sana. HII chuki dhidi ya Kenya sio ya kawaida.wacha kuita J'burg kwa barabara poor quality!
J'burg several years after being built
VS
Kunyaland road before completion!
kwani huoni hizo structure zenu ni za kijuakali? mabarabara yenyu yamepindapinda!Huyu jamaa sijui ni kama kuna Mkenya alimfanyia madhambi. Mkenya aliyemkosea huyu jamaa alituingiza mashakani sana. HII chuki ya Kenya sio ya kawaida.
Yaan Siku unaaga ndio unaongea point...I am logging off from JF for a very long time., it has been fun being here, nimejifunza Kiswahili sana humu, guess have improved tremendously in comparison to when I joined JF, ahsante sana watanzania kwa hilo. My countrymen keep on debating in a positive way, post positives with undeniable facts. I wish you all success, may Tanzania grow to become a force not only in Africa but in the World, may Kenya ascend even higher and create more opportunities for prosperity and success for all and be a role model in Africa. May both countries succeed in alleviating poverty, corruption and bad governance. May EAC become the King of Africa soonest! We are both in the right track I can tell, miundo mbinu inanyooshwa pole pole, it is just a few structural adjustments here and there; socially, politically and economically and then we are good to go. God bless Africa. Goodbye y'all.
Just to add, to those have hurt by my aggression, forgive me, ni debate, nothing serious, much love. [emoji1696] [emoji120]
Mmmhh Hotel mlimani ??? Tuache hiv hiv asee ndio poa kwanza inasaidia vijana local sanaaa kiuchumi..Juu ja huo mlima wajenge japo hotel 4 zenye restaurant ili watalii na watz wapate pakufikia na kupumzika japo siku mbili ,ubunifu ni muhimu sana ili watalii wakija tz wakute mambo ni mengi ya kutalii siyo mtalii anakuja na kuondoka kamaliza kila kitu ndani ya week 1 tu,ili watalii wakija mara moja watamani kurudi tena na tena
Angalau wewe ni mwerevu unalinganisha barabara ya Kenya na ya South Africa kwa sababu unajua vizuri kwamba Tanzania haina barabara yoyote inayoweza kulinganishwa na Nairobi expressway.kwani huoni hizo structure zenu ni za kijuakali? mabarabara yenyu yamepindapinda!
Natamani mngekuwa mnafanya kilimo kikubwa na cha kisasa kama sisi ili mtupunguzie mzigo wa kuwalisha kila siku.