Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sikutaka kuchangia hii mada ila quotes zako zimenilazimu.
Mimi siyo mshabiki wa siasa na sizikubali siasa za bongo ila unapotaja viongozi huwezi sema mama samia ni kiongozi,shika adabu yako unakosea viongozi.
Unapokosea pakubwa ni kumfananisha huyo mama mbulula na Mheshimiwa Magufuli.
Magufuli alikua mtu aliyeweka nidhamu kazini,Magufuli ni mtu aliyeua social classes,Magufuli alikua ni mtu aliyeweka morali ktk kuchapa kazi,Magufuli ni mtu ambae aliangalia wananchi kwanza kuliko kingine,Magufuli ni kiongozi ambae alionesha mfano kuwa ukisema unatakiwa kutenda,Miradi mingi aliiweka ktk utekelezaji na ikawa inatekelezwa na inaenda kwa kasi.
Leo hii mama yenu mvaa ushungi ona anavyoizorotesha miradi,nidhamu ya kazi imeondoka kabisa ktk mashirika ya umma ya kiserikali,social class zimerudi,ukandamizwaji wa wanyonge hususan (wafanyabiashara wadogo wadogo)umerudi tena.
Nani ameuzorotesha uchumi kati ya Marehemu na Mama yenu mjambiani??
Embu kuweni na heshima msimfananishe Magufuli na vitu vya hovyo hovyo .
 
niliwaambia mtanganyika wa kawaida, hatawezana na bei za kenya, sa, egypt, uae etc.. heri tu wabaki kwao, huku ndiko watapata afueni
 
Put some respect to Kisumu, you can`t compare that village with Kisumu. Kisumu is clean with paved walkways throughout unlike Arusha where walkways are full of mud and dust.

So walk ways mean development.? 😂😂😂, Kichaa kweli wewe
 
Kisumu village center 👇vs Chuga City center 👇
Put some respect to Kisumu, you can`t compare that village with Kisumu. Kisumu is clean with paved walkways throughout unlike Arusha where walkways are full of mud and dust.

Kwa hizo clear photos hapo juu, unafkiri Kisumu Ina qualify city status.? 😂😂😂😂
 
kila nikiiangalia hii njia sipati majibu jinsi vituo brt vitakavyokaa maana nsona njia ni ndogo labda iwe direct
Njia ya BRT iko-reserved kati kati, pia BRT stations zitakuwa kati. Lakini pia BRT stations zitaunganishwa na stations za elevated metro rail. Kwenye hii picha ukiangalia kushoto Kwa Bagamoyo road kuna space wameacha na ndipo njia ya treni za mwendokasi ilipo. Then katikati ni BRT na stations zake.



Hii illustration inaonyesha integration ya metro rail na BRT.
 
Serikali yetu ikona Land Rovers na Land Cruiser 76 series mingi sana. Hizo ndio gari za kufanya field work.
Hata huku zipo lakini hutumika kwa projects tuu halafu hizo gari sio comfortable kwa long safari waziri atachoka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hvi nyinyi huyu kilaza munamuelewa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Glass floor Bongo ipo sana tuu, Pale NHC House Samora




Glass floor hii hapa




Na tunachill hapa kupata view kali kama hizi.



In fact glass floor ya Bongo ipo miaka karibia 20 kuliko hiyo yao ya juzi ya le Mac [emoji1787].maana hilo jengo ni la muda sana
 
Tunampa kutokana na ukubwa wa GDP yetu on the ground considering the vastness of our country and state of rural roads Toyota Land Cruiser Vx ni best option that comes with comfy and reliability
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…