Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The same way picha yoyote ya Dar lazima zile gorofa tatu zitoke. So Kisumu na Dar ni mapacha
Kama hizi
Screenshot_20211224-163640.jpg
Screenshot_20220119-145135.jpg
Screenshot_20211225-182506.jpg
tapatalk_1595265016012.jpg
tapatalk_1595431318008.jpg
tapatalk_1596534971486.jpg
 
Na bado uko hapa kunadi miradi ya awamu iliyopita, hakuna jambo jipya lililoanzishwa awamu hii hata moja, Watz leo hii tunawatambia Wakenya kwa juhudi za awamu iliyopita kama una kende weka hapa mradi wa awamu ya sita
Mlimuachia nani hiyo miradi akamilishe? Subiria signature kwenye mbao za uzinduzi
 
Kwani Eastleigh si upumbavu kweli, yaani Unalinganisha eneo ambalo Zimbabwe, Zambia, Comoros, Malawi, Burundi, Rwanda, Uganda, DRC, kunyaland mnakuja kununua bidhaa za wholesale na Eastleigh slums?

Ninyi wenyewe mpaka mkaiba Jina la kariakoo 🤣🤣🤣

View attachment 2097729
By 2014 Eastleigh contributed $23M to the Economy, do you know how much Kariako contributed to Tanzanian Economy in 2017? It`s $1.2M

By 2014 Eastleigh contributed $23M to the Economy, do you know how much Kariako contributed to Tanzanian Economy in 2017? It`s $1.2M

🤣🤣🤣 Unachukulia kariakoo as a building and kariakoo as a business ward?, hiyo $1.2m ni kodi ya soko la bidhaa au (shimoni) na sio kariakoo as a business district
 
You know how everything works.....support your argument as you have always failed to do so
We ukitaka battle unaomba tu mzee, in Afrika, seeing is believing, kwahyo tunashuka tu ground sio kupost article hapa bablai
 
By 2014 Eastleigh contributed $23M to the Economy, do you know how much Kariako contributed to Tanzanian Economy in 2017? It`s $1.2M

Kilichochangia hiyo $1.2M ni hiki kieneo hapa 😂😂😂😂

Screenshot_20220127-221340.png
 
🤣🤣🤣 Unachukulia kariakoo as a building and kariakoo as a business ward?, hiyo $1.2m ni kodi ya soko la bidhaa au (shimoni) na sio kariakoo as a business district
Nilijua tu lazima ukuje na excuse🤣🤣. Eastleigh $23M, Kariako $1.2M.
 
By 2014 Eastleigh contributed $23M to the Economy, do you know how much Kariako contributed to Tanzanian Economy in 2017? It`s $1.2M

Kodi ya Kariakoo market unalinganisha na mji mzima 😂😂😂 punguani kweli wewe
 
Back
Top Bottom