Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

60% ya watumishi wa umma Kenya wanapokea mshahara chini ya laki 6 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulipwe laki 6 Kenya na ugumu wa maisha ule? No wonder most of them are Slum dwellers 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

 
Hapa ndio sehemu pekee wanapaswa kutulia zaidi kwa sasa....imagine wakisign mashudu kwenye huu mradi itakua wastage ya century

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Kwa huo maradi I agree with them engaging an expert..
We may not agree on the procedure for getting an expert ila ilikuwa ni busara to have one ..
 
kumbe 30k ni 600k uko bongo land😂😂😂kwani hizo pesa mnazibebanga wapi????
Ni hii 😅😅😅😅

Screenshot_20220125-221624.png
 
We nayo unatumianga akili kama kamisi!!why do you think the go to India and not China while China as the largest GDP in the world???
Wewe chizi kweli, wewe umeshaona nchi zenye GDP kubwa raia wake wakihangaika kupata mahitaji muhimu Kama Hospitali?, Kumbuka huyo mama anauliza "Inakuaje wakenya wanaenda kutafuta matibabu Tanzania wakati tunajisifu kuwa na wasomi wengi?", Yaani hata huyo mama anakushinda katika "Critical thinking?
 
Ndio maana nikakuambia hivi...hayo ni yale media zenu wanawaambia.....na kuwaficha ya maendeleo kuhusu kenya....hivi je wajua kuna mitaa ya mabanda marekani? Lakini what the media potrays ni utajiri mtupu...Sisi Kenya hatuna njaa kiwango hicho mnasema, wala slumz zetu mnazopenda kuziimba sio ni kama vile dar yote inaonekana..maana kenya estates zetu zina mipangilio hata moroco haioni kitu....Barabara zetu ni za hali ya juu zaidi, Naukumbuke sisi hatuna mafuta ...hivyo kupatikana top six richest country hata moroco wenyewe wanatushangaa.Nina tamani saana mje huku mjuionee kama baba levo
Media zetu hazina habari na Kenya wacha upumbavu, Kenya tunaijua cc tu humu JF.
 
Back
Top Bottom