Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Laki sita, hawa kweli wanajua kitu kinaitwa laki sita na uzito wake kweli
Huku bongo hata mwalimu wa sekondari halipwi pesa hiyo.. 600k ni pesa ndogo mno, maskini wa NAIROBI akija kuishi Dar anakufa, mana kama muajiriwa wa serikali analipwa pesa hiyo na ni 60% of Kenyan civil servants 😂😂😂 nyie jamaa ni huruma
 
Crazy bullshit BRT.., mnafinyana kama makondoo ndio cha kuambia watu humu, masaibu ya uchumi hafifu, mnajenga vitu vidogo ilhali mko wengi ona sasa kiatu kipya tayari kinawafinya
That is During Peak time and it's like that in every corner of the World, Nenda Asia, Europe etc Hadi subway za wazungu watu Wanajaa na wengine husimama, I can't imagine a peak time ride in Matatu
 
Huku bongo hata mwalimu wa sekondari halipwi pesa hiyo.. 600k ni pesa ndogo mno, maskini wa NAIROBI akija kuishi Dar anakufa, mana kama muajiriwa wa serikali analipwa pesa hiyo na ni 60% of Kenyan civil servants nyie jamaa ni huruma
Twende kwenye mishahara ya walimu sai uone km utatoka mzee
Mwalimu wa kawaida bongo anakula laki na nusu acha uongo wako hapa
 
Huku bongo hata mwalimu wa sekondari halipwi pesa hiyo.. 600k ni pesa ndogo mno, maskini wa NAIROBI akija kuishi Dar anakufa, mana kama muajiriwa wa serikali analipwa pesa hiyo na ni 60% of Kenyan civil servants nyie jamaa ni huruma
We unajua kitu kinaitwa laki, yani hapa duniani waume wanapotaja laki nyie mnastahili kutulia
Tuongee kw ksh tu, usinitie kichefuchefu mie
 
Only stupid leader like Jommo Kenyatta can do that, if normal Kenyan citizens is not confi
EA nzima tangia wanasiasa na wenye hela zao likija swala la afya wanakimbilia kenya, hzo propanga wao ndio wanazitengeza lkn ukweli wanaujua..

Subiria mseven aumwe km hakuja nairobi
 
We ni wa kupuuzwa, sai unashikilia rekodi ya kuwa kilaza nambari moja jf
That must be a salary scale for 1995..The lowest earning person in Kenya nowadays has a basic of 12k minus allowances. Yeah,we get it that you hate Kenya.....we don't need reminders.
Screenshot_20220127-195801_Opera.jpg
 
That must be a salary scale for 1995..The lowest earning person in Kenya nowadays has a basic of 12k minus allowances. Yeah,we get it that you hate Kenya.....we don't need reminders. View attachment 2097629
Ndio nawashangaa mimi, 12k(basic salary) hyo ni lowest kabisa yani...
Alafu hapo hapo utakuta ana 3k allowance ya usafiri na vitu vingine vingi..
Akitaja sekta yyte serekalini nitag, natala kuuwa mtu leo
 
Hii serikali ya wapigaji tu,mbona kwenye makinikia tuliweza? Yaani kila kitu sasa hivi ni wazingu ndio wanasimamia. huyu mama mm nilimkataa baada ya wiki moja kuna watu wanammunga mkono humu Hadi sasa 🚮🚮🚮. Kwann wavunje shria ya mwaka 2017? huyu "kipara" niwizi! 😡😡. Am still sceptical on My president's death.
View attachment 2096787View attachment 2096788View attachment 2096789
Umeelewa hiyo statement uliyo I qourte au unahemka kwa nyege? Una upumbavu mwingi kichwani..
 
Back
Top Bottom