Mumeshindwa kusambaza vitabu mashuleni, sasa hzo hela za ndani ziko wapi..Kumbe ndio maana hawawezi kujenga hata km 5 za reli kwa pesa za ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km sio wakenya hata kuugua kw magu na kifo chake mpka leo mngelikua mnalishwa matangapori hku samia akibaki kuwa makamu wa raisiHizo ni porojo za mitaani au fake news lete ushahidi kama Hakuna funga mjadala
Hapa kuna MOI institute , kuna JKCI institute , kuna Benjamin William mkapa hospital kuna mloganzila institute, kuna kcmc hospital kuna bugando hospital wanafanya upasuaji wa aina zote wakenya wanakuja huku kutibiwa halafu Raisi wa nchi akatibiwe kwa strategically competitor inaingia akilini ?
Kenya wamezidi nini Tanzania kwa Tiba?
South Africa Sawa.
Burundi unafananisha na Tanzania wewe unafikiri sawASawa kweli ???
Jamaa umekasirika mpka ukataja hospitali zenu best of best, nje ya hzo ni magofu tu vifaa sufuri ndio manake IMF wameonea hurumaHizo ni porojo za mitaani au fake news lete ushahidi kama Hakuna funga mjadala
Hapa kuna MOI institute , kuna JKCI institute , kuna Benjamin William mkapa hospital kuna mloganzila institute, kuna kcmc hospital kuna bugando hospital wanafanya upasuaji wa aina zote wakenya wanakuja huku kutibiwa halafu Raisi wa nchi akatibiwe kwa strategically competitor inaingia akilini ?
Kenya wamezidi nini Tanzania kwa Tiba?
South Africa Sawa.
Burundi unafananisha na Tanzania wewe unafikiri sawASawa kweli ???
Kila mtanzania ana kiwanja chake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tena huku viwanja ni sawa na bure 😃👇👇Kila mtanzania ana kiwanja chake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naijua moshi vizuri sana km hujui, moshi kabisa bana[emoji1787][emoji1787]ndivo mama ngina aliwadanganya hvo [emoji23][emoji23]
unaijua wewe kuliko sisi au ??🤣🤣🤣Naijua moshi vizuri sana km hujui, moshi kabisa bana[emoji1787][emoji1787]
Ile round about ndio maendeleo sio
Hehehe!!hela watoe wapi wakati mtu akilima mihodo anaona keshamaliza kila kitu[emoji1787][emoji1787]ndio manake kw hyo hela na bado vinawashindatena huku viwanja ni sawa na bure [emoji2][emoji116][emoji116]
4m tsh na bado unalipa kwa awamu kidogo kidogo tena 1000sqm
View attachment 2094937View attachment 2094938
ni sawa na bure 😇😇😇Kila mtanzania ana kiwanja chake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekasirikaee, moshi nilipokua shule likizo karibia zote hko mzee..we hunambii kitu kabisa..unaijua wewe kuliko sisi au ??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
unaona sasa unavohangaikaHehehe!!hela watoe wapi wakati mtu akilima mihodo anaona keshamaliza kila kitu[emoji1787][emoji1787]ndio manake kw hyo hela na bado vinawashinda
Yani TSH 4m ndio ilipwe kidogo kidogo kiwanja cha 100sqm, ingelikua wakenya wana uwezo wa kuvinunua hko na kuvihamisha hku basi sai vingelikua vimeisha vyote hata kw tsh 5m
mm nikukasirikie wewe kwa lipi budaa 😂😂😂 mm nakwambia kisumu haitoboi kwa moshi kwenye kila kitu kwanzia living standards mpaka umaskiniUmekasirikaee, moshi nilipokua shule likizo karibia zote hko mzee..we hunambii kitu kabisa..
Bibi alipokufa(mzaa mama) ndio safari zikakatika ikawa ni tanga mombasa
Bwahahaaa!!endelea kunambia, uzuri ukweli naujua[emoji1787][emoji1787]mm nikukasirikie wewe kwa lipi budaa [emoji23][emoji23][emoji23] mm nakwambia kisumu haitoboi kwa moshi kwenye kila kitu kwanzia living standards mpaka umaskini
Si wajua inferiority complex ni donda sugu kwa majirani!?Ingekuwa huko kwa wengine wangesema 'ze best hoipital in Afirika'.
gameover. what are u waiting for. hebu fungua uzi upesi. Dodoma vs ThikaThis is 1/4 of the university of Dodoma,
This one side alone got more buildings than the entire Zika, lie?