ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
who is african insider ?? nikusaidie kumjua 😃
is that interchange au ww hujui maana ya interchange 😂😂😂😂😂
ww unafananisha vitu viwili tofaut hio sio reli hio daraja linajengwa kwenye project ya Julius nyerere dam 🤣🤣🤣 mbona munapenda kudandia treni kwa mbelethere is a 6.7 kilometer superbridge in Nairobi that no one is making a big fuss out of it…
View attachment 2093127
View attachment 2093128
View attachment 2093129
View attachment 2093130
View attachment 2093131
View attachment 2093132
View attachment 2093133
Where are pictures of Magufuli.Magifuli can not be admitted to shit hospitals.
80% ya manpower ya mashamba ya Kigoma na Katavi ni warundi, wanatia huruma sana ila ndio hivyo life's fair.Asa ww unaemtibia Burundi na Malawi
Asa ww Mkenya unaemtibia Mrund na Mmalawi sisi ndiye tunayekutibia.
Hata hao Warundi wapo kibao huku wanatibiwa tena na kuomba uraia kabisa wakidai waha kumbe warundi.
Hivi Kunyaland mna daraja hata la 500 m la kuvuka maji? Unaleta viaduct inavuka ardhi unalinganisha na daraja linavuka maji? Get a 500 m first!Wewe mzee wa kuona giza ukiskia neno bridge unafikiria ni your typical definition.. ati bridge lazima kuwe na maji chini yake 😂🤣🤣🤣🤣
who tf is a fool here? rudi shule mzae,
Hii ni barabara nzuri sana imepoa mno.. inafanana quality na barabara inayotokea Kurasini interchange kupita uwanja wa taifa all the way to Tazara interchange, sijui inaitwaje jina lakeHii barabara pamoja na Mandela zilijengwa na kampuni moja ya Uingereza iliyoitwa Mowlem (miaka ya 1982). Ilijengwa kwa kiwango cha juu sana, including sidewalks and bike lanes. Haikuwahi kuwa na shimo hata moja kwa miaka 15 baada ya kujengwa.
huyu jamaa anataka kuteka masoko ya karibia nchi zote zilizotuzunguka 😀😀aisee haya ni kujiandaa na fursa DRC nini?
Hiyo inayopita uwanja wa taifa ndiyo hiyo inayoitwa Mandela road (zamani ikiitwa Port Axis). Inaanzia bandarini (bandari road) mpaka ubungo (Kijazi interchange).Hii ni barabara nzuri sana imepoa mno.. inafanana quality na barabara inayotokea Kurasini interchange kupita uwanja wa taifa all the way to Tazara interchange, sijui inaitwaje jina lake