Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ok
Screenshot_20220122-115138_Facebook.jpg
 
Wakenya bwana sasa steel interchange ndio . Yaani lazima msifie kitu sijui steel mbona kuna overpass pale Magomeni mikumi ya steel kwenye huu phase 2 ya BRT lakini humu watu hawasemi . Yaani sifa nyingine sijui hili iweje
Amesifia nini hapo sasa? Jamaa kaleta tu picha na kutaja jina ya mradi. Mbona inferiority complex huwasumbua hivi nyie mibongolala?
 
Asa ww unaemtibia Burundi na Malawi
Ata jirani yao Burundi Malawi, wote wanakuja Nairobi kutibiwa
Armref wanapata rich customer's wengi sana.
Asa ww Mkenya unaemtibia Mrund na Mmalawi sisi ndiye tunayekutibia.
Hata hao Warundi wapo kibao huku wanatibiwa tena na kuomba uraia kabisa wakidai waha kumbe warundi.
 
Back
Top Bottom