Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stori stori!;Diamond and hamornize:Kenya and Tanzania!

Diamond:Maisha yamenikaa sawa sana mi ni king Simba
Harmonize:kwani mi ndio king mbuzi sio,mi sikutambui
Diamond:no problem man wacha mafuns watajibonga tuuh"mafans nani mkali wao?
Mafuns😀iamond! Diamond!
Harmonize:wacho zako dogo ona jinsi nilivyoshiba,cheki misuuuli😈pesa ninazo kaka
Diamond😛esa ni kama chai tu wakunywa yaisha watafuta wapata wakunywa tena😂ama vipi bro
Harmonize:mimi sio ligi yako mimi zimejaa benki,natambulika mpaka Kenya
Diamond:sitajigamba but najulikana East Africa na dunia nzima!
Harmonize😀uuuh pia mimi najulikana East Afrika na dunia mzima

Diamond:kujulikana sio shida but nani mkuu
Harmonize:mimi!!!we ni dogo tyu!
Mafans😀iamond ndio mkuu ingawa pia harmonize twampenda lakini diamondi ndio Simba

Why diamond ndio simba kuliko harmonize,sababu ata kama wote wanajulikana na mzikii yao ni yakupendeka,diamond anatumia jitihada akili na halizimishi,but harmonize ndio akona jitihada but analazimisha
Aliyeshika hii stori ajue kwamba
#hatupangwigwi
Rising above all the odds,slowly but wisely!
 
nimegundua watanzania ni watu wenye uwivu sana, hasa kwetu sisi wanakenya ikianza na mrh magaful. u must realize tht we are living on two totaly different economic boundaries,..
LDC vs Emerging Market...
Gdp $109B vs $65B...
Per Capita $2,300 vs $1,100...
HDI 0.61(medium) vs 0.52(low)...
Life Expectancy 65yrs vs 55yrs...
Economic growth 6.1% vs 4.2%...
u realy try to force things hard, but we just can never sail on the same boat atleast for now.
u realy try to talk very ill of us everyday but still the fact remain you cannot change the truth of the matter.
yatafakari hayo[emoji848] and am out!
Life expectancy ya tz umechemsha ni miaka 65
 
suala kama hili, Tanzania tunakwama wapi kujenga viwanja vipya 3 ?
ujue sionagi ugumu Tanzania kuwa na viwanja vya kisasa vya mpira wa miguu angalau vinne kama cha Mkapa stadium

wa Dodoma umeanza kujengwa? Unajua vile vya Zanzibar na ule Dar viko tayari wakijenga wa Dodoma, Mbeya na waki-modernize Kirumba kuwa wa kisasa kama SA walivyofanya World Cup mbona tuna-host AfCON vizurii!
 
kama umewah kusikia MAMA akiutaja tokea awe Rais naona unitafutie link yake niione. Nadhan tatizo lipo hapo.. priority..! too bad huu uwanja wa dodoma uko kwenye ilani ya uchaguzi mwaka 2020-2025 ila sioni utekelezaji wake
 
Majaliwa alitumwa Morocco
 
wa Dodoma umeanza kujengwa? Unajua vile vya Zanzibar na ule Dar viko tayari wakijenga wa Dodoma, Mbeya na waki-modernize Kirumba kuwa wa kisasa kama SA walivyofanya World Cup mbona tuna-host AfCON vizurii!

pia, mfano. hiv kama tunasaini mikopo ya zaidi ya $1 b kujenga SGR (mpka sasa zishatumika zaid ya $3 b) .. tunashindwa kuomba mkopo hata wa $500-700 m tujenge viwanja vi3, indoor arena hata mbili (for michezo yote ya indoor) na hata angalau international swimming pool moja kubwa
 
Kingine hatuzitumii kampuni kubwa za migodini na gesi kushirikiana nazo vizuri! Tunaweza kupata contribution nzuri toka kwao hata mpaka $20 mln!
 
Back
Top Bottom