dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
tarehe na saa mzeeKwahiyo unataka kusema hyo receipt ni ya jana?![]()
tarehe na saa mzeeKwahiyo unataka kusema hyo receipt ni ya jana?![]()
Muhimu ni kwamba, wakati Kenya mnatumia kigezo cha utumiaji wa mafuta mengi kuwa ni "positive" na inaonekana mnazidi kuongeza matumizi ya mafuta, sisi tunatazama "opposite" kabisa na ninyi, ndio sababu tuaongeza uzalishaji wa umeme na gesi, tunabadili matumizi ya mafuta katika maeneo mengi na tuna "replace"umeme na gas.Badala reasoning yako uchwara ungechukua hio data ya before sgr tuone ilikua ngapi
The best 007 jana ulinidaka, leo ni mimi nimekudaka sababu sasa kila mtu anajua hauna kazi wala hela. kama hela iko tuoneshe, either ikiwa cash, cheque, ATMreceipt, Mpesa etcKwahiyo unataka kusema hyo receipt ni ya jana?![]()
GMT ndo wapi?
Time difference mkuu Greenwich meridian time ya Sehem niliopoGMT ndo wapi?
ohk nilitaka ku-confim ni GMT gani!Time difference mkuu Greenwich meridian time ya Sehem niliopo
Sawasawa mkuu pamoja Sanaohk nilitaka ku-confim ni GMT gani!
Mwanaume gani unalialia kiasi hicho aise!poleni lakini in conclusion tu:-
nyinyi waTz mulinivamia sana jana,... watu 100 kwa mtu1.! muliniaibisha sana mbele ya wakenya wenzangu.. sasa kina nairobiwalker, don yf, kanairo, teargas, simba254, komora96, kenpaulite, iamlee, mashashola, mutaitina, mwathadan, Thebest007, tony254,.. unafikiri wataniona aje.? kama mume bwege ama mume hooi. hio ndio raha yenu sana.
but in the process of your argument, i learnt somethng thts very common with almost all of you tanzanians, that one should not take your critics seriously, its like your nature to inflict pain into ones life, you like picking on every minor, petty, negligible matters and magnify it as if a major thing!. one should not take your words personal, less you don't want to see the next decade due to pressure. nxt tyme i come into such a similar situation like yesterday, i prms not to use much energy to defend myself. i ll just ignore, as kenpaulite advised me. afterall u don't even know me in the first place. ama ata tutakutana wapi?. you don't even add an inch into my life afterall. so why stress myself
And 1870's gari moshi MGR Vs Electrified SGR?Very very true, how can you compare a country which is ranked number 57 globally in peace index and the one ranked 125?, hiyo ni sawa na mbingu na ardhi![]()
Lkn mi sioni km ina haja hyo buda, maisha yako ni yako mtu asikupangienataka u mark leo. 19/01/2022. niko na ksh491,201/- ikiwa side hustle tu!. bila kuongeza salo. nataka niku ng'arie, ndio ujue maana civil engineer wa serkali ya kenya ni mtu wa aina gani.
nb: i ll be updating you every 19th of every month till december... sawa!
utajua sisi wa kenyareé ni kina nani. watu wa per capita kubwa
matters engineering, taking contractors for a short course. a 3day seminar for invited contractors (grade 8 and above)
State Department Of Public Works View attachment 2088691View attachment 2088688
noted. i truly concur with your advice. surely their's no need. acha hizi story zote za hela izamie hapoLkn mi sioni km ina haja hyo buda, maisha yako ni yako mtu asikupangie
Ndio hvo!!hatupangwingwinoted. i truly concur with your advice. surely their's no need. acha hizi story zote za hela izamie hapo
This is not true.biggest banks in Tanzania are CRDB and NMB many Tanzanians do not use those banks.No research no right to speak.kenya still remain east african economic powerhouse. kenya's equity bank and kcb bank are very active in tanzania. infact they are the leading banks in tanzania..! other countries with its branches incd: uganda, drc, ssudan, rwanda, burundi, ethiopia.
also, nakumatt and uchumi supermarkets were the leading retail stores in tanzania, and also in all other eastern africa countries. i've never heard of any tanzanian thing! in this country.. pengine collaboration na wasafi records pekee