Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,771
TBT
ata mi nashangaa... raia wa kawaida, a mere jf member vs an international icon. that's nonsense.. it doesn't make any logicWadanganyika wanafananisha pesa za mkenya member wa jamii forums na pesa za msanii wa kwao mkubwa diamond platnumz. KENYA LANES!
Hii vocha mbona inasomeka kiasi ulichotoa ni buku 1k .? balance after ndio 400k+ .?


hoja ilikua nipate tu receipt ili uone


hoja ilikua nipate tu receipt ili uone mimi ata ni zaidi ya ile fedha ulio iona kwenye lile picha la illuminati😂😂😂 Hii vocha mbona inasomeka kiasi ulichotoa ni buku 1k .? balance after ndio 400k+ .?
ningepata aje receipt. pia ndo ujue a/c iko active, ndo maana sikutaka tu bank statementSasa how comes u withdraw 1k,
What do u do with 1k for sure![]()
Diamond Platnumz bila support ya wakenya asingefika hapo alipo, watanzania hawana shukurani.ata mi nashangaa... raia wa kawaida, a mere jf member vs an international icon. that's nonsense.. it doesn't make any logic
Inaonekana amekukera Sana..wewe wewe The best 007.......... wapi hela zako!, kenpaulite ametuonesha, ichoboy pia vile, mimi pia vile..... na wewe... wewe ndio unapayuka zaidi humu.
maskini wewe hauna kazi ndo maana unashida jf 24/7, kila uchao. unaandika 131msgs per day!. njoo nikupe kibarua

Hawatumii usafili wao hao police wanachofanya basi la kwanza kuondoka stendi ndo anakaa askali mmoja nahisi mbele kwa dereva mabasi yote yanayofata nyuma hakuna kulipita ilo basiTatizo kubwa la Afrika kwa ujumla ni uwezo mdogo wa kufikiria, hilo zoezi haliwezi kuwa endelevu kabisa, sidhani Kama litadumu hata wiki Moja, bure kabisa Hawa watu.
Mbona kila siku wanalalamika kwamba hakuna polisi wa kutosha, watawatoa wapi hao wa kusindikiza misafara ya "routes zote?.Hawatumii usafili wao hao police wanachofanya basi la kwanza kuondoka stendi ndo anakaa askali mmoja nahisi mbele kwa dereva mabasi yote yanayofata nyuma hakuna kulipita ilo basi
Pesa ukiwa nazo hata usipopiga nazo picha raia wataona tu automatically kua unazosasa unadhani Tanasha angemvulia vp chupi?
keep doing your thing bro.....nataka u mark leo. 19/01/2022. niko na ksh491,201/- ikiwa side hustle tu!. bila kuongeza salo. nataka niku ng'arie, ndio ujue maana civil engineer wa serkali ya kenya ni mtu wa aina gani.
nb: i ll be updating you every 19th of every month till december... sawa👍🏽!
utajua sisi wa kenyareé ni kina nani. watu wa per capita kubwa
matters engineering, taking contractors for a short course. a 3day seminar for invited contractors (grade 8 and above)
State Department Of Public Works View attachment 2088691View attachment 2088688
Halafu uache kung'ata kucha mtoto wa kiume ndio maana unapenda sana kutajataja matakovalid till Dec2025. matawkow hii View attachment 2088799
better kwetu ni stable what about kwenu 🤣🤣 kila siku afadhali ya janaWait… this you??😂😂View attachment 2088637
Mbona kila siku wanalalamika kwamba hakuna polisi wa kutosha, watawatoa wapi hao wa kusindikiza misafara ya "routes zote?.
Vipi kuhusu mabasi ambayo hayaanzii Dodoma lakini yanapita hapo Dodoma Kama "transit" kuelekea mikoani, yanapita kwa muda tofauti?.
Vipi kuhusu huo msafara unaoongozwa na huyo askari, hivi likipata dharura, au wakifika sehemu ya kula au kujisaidia, ni lazima mabus mengine yote nyuma nayo yafanye hivyo hivyo hata Kama hawahitaji hiyo huduma?
99.99999999% ya Kenyans watakufa bila kujua jamii forums ni nini, na Kenyan member wa JF anafananishwa na msanii mkubwa Tanzania Diamond Platnumz kipesaata mi nashangaa... raia wa kawaida, a mere jf member vs an international icon. that's nonsense.. it doesn't make any logic



