kuku hakikishia tu kuwa account yangu iko active tena sana!😂😂😂 Hii vocha mbona inasomeka kiasi ulichotoa ni buku 1k .? balance after ndio 400k+ .?
oooo... hii safari ya hela wacha tuianze leo. ntawanyeshwa aky. ata fungua uzi ya mihela yani cheddar🏦🤑Vile wasanii ambao hawana hata shule kichwani wanavyotengeneza pesa mingi Tz baadhi ya picha za Diamond Platnumz akiweka mitonyo benki👇.. dyfre njoo hapa ujifunze vile unafaa kufanya uki claim kuwa uko na pesaView attachment 2088699View attachment 2088700![]()
View attachment 2088708![]()
View attachment 2088701
View attachment 2088707
unataka niku proovie aje sasa.. nimekutumia hadi video. itazame hio receipt kwenye video ikiwa sijia kunja bado, mshefa wangu.nina doubt sio yake.. kwa ilivyojikunja, nadhan kaokota jiran na atm.. pengine ni mlinzi
hiv ukimjaribu kesho atoe hata 1k nyingine afu akuonyeshe receiptya salio lililobaki atakubali? au utakuwa umempa mtego mzito
Hii comment ya huyo jamaa ina maboko yakutosha 😀'i can proof you wrong' ?!!! 😳😳
Na masera hapo imeingiaje 😎, au ndio wanasiasa wenu washakuvurugaprove and proof means the same thing in Oxford dictionary
We kiazi kweli yani. Kisa yana maana moja ndio yawe position sawa kwenye sentensi?@RRONDO and @NDINDA. minor error though. bado sisi ni mabingwa wa kingereza. if you know the meaning of Thesaurus or Thesauri,
u ll understand what I mean View attachment 2088651View attachment 2088652
Huna lolote wewe mwanafunzi wa veta una safari ndefu sana kufikia uingineernataka u mark leo. 19/01/2022. niko na ksh491,201/- ikiwa side hustle tu!. bila kuongeza salo. nataka niku ng'arie, ndio ujue maana civil engineer wa serkali ya kenya ni mtu wa aina gani.
nb: i ll be updating you every 19th of every month till december... sawa👍🏽!
utajua sisi wa kenyareé ni kina nani. watu wa per capita kubwa
matters engineering, taking contractors for a short course. a 3day seminar for invited contractors (grade 8 and above)
State Department Of Public Works View attachment 2088691View attachment 2088688
Hapa Diamond alizingua sana, ina maana ameshindwa kuajiri personal accountant hata part time? ndio maana wasanii wabongo wakifulia wanakufa kimbuziVile wasanii ambao hawana hata shule kichwani wanavyotengeneza pesa mingi Tz baadhi ya picha za Diamond Platnumz akiweka mitonyo benki👇.. dyfre njoo hapa ujifunze vile unafaa kufanya uki claim kuwa uko na pesaView attachment 2088699View attachment 2088700![]()
View attachment 2088708![]()
View attachment 2088701
View attachment 2088707
ntaku proovia zaidi kama unataka basi.nina doubt sio yake.. kwa ilivyojikunja, nadhan kaokota jiran na atm.. pengine ni mlinzi
hiv ukimjaribu kesho atoe hata 1k nyingine afu akuonyeshe receiptya salio lililobaki atakubali? au utakuwa umempa mtego mzito
na bado ntakupiga mswaki.......Huna lolote wewe mwanafunzi wa veta una safari ndefu sana kufikia uingineer
personal detail sipendi kuoneshana, lakini mumeni skuma hadi ukingoni, hadi nimefanya mambo ambayo haikua necessary. but hope mmeridhika sasa.haya hii hapa.
receipt ya hapo awali Account No. 011166038839000024 iko clearer View attachment 2088779 ongea sasa niskie nugu🐒🐒 hii
Katika watu hapa wenye mapenzi makubwa kwa Kenya Mimi ni mmoja wao, tatizo hamjanielewa vizuri. Kenya hoyeeeee.ww joto la jiwe ni moja wepo
Yaani hata nkiambiwa nimrecommend mkenya tumpe kazi wewe haumo, maana tumezoea wakenya tunawaweka kwenye postions za kujishebedua kwa kiingereza na confidence za motivational speakersna bado ntakupiga mswaki.......
watanganyika watanganyika jameni njooni niwape kazi
Hata hiyo card umeokota, huoni ishaexpire 🤣🤣🤣ntaku proovia zaidi kama unataka basi.
soma account No. 011166038839000024 kama sio. FREDDIE stands for dyfre View attachment 2088767
bado uko na tashwishwi
Tatizo kubwa la Afrika kwa ujumla ni uwezo mdogo wa kufikiria, hilo zoezi haliwezi kuwa endelevu kabisa, sidhani Kama litadumu hata wiki Moja, bure kabisa Hawa watu.Ndo nini sasa hawa polisi wa Dodoma? Kwa nini wanapoteza pesa ya mafuta kuwaongoza, badala yakuwapiga tochi na kuwapa faini kubwa ili wasirudie?