dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
itazame hiyo voucher ikiwa mpya kwenye video basi. kelele za chura twaitambuaWe jamaa unachekesha, yn vocher imechoka kweli kweli cjui umeiokota wapi![]()
itazame hiyo voucher ikiwa mpya kwenye video basi. kelele za chura twaitambuaWe jamaa unachekesha, yn vocher imechoka kweli kweli cjui umeiokota wapi![]()
prove and proof means the same thing in Oxford dictionaryKaandika hivyo mara kadhaa nilidhani typo kumbe ndio style yake.
mwarabu ichoboi ako na time ya kutoa kila kitu, kuziweka on, kutandika mkeka na kupanga ili apige picha aziweke jf bongolala redefined 😂😂😂hebu piga gharama hzo 🤣🤣👇👇
iphone 12 pro
lg wing
iwatch series 6
germin watch fenix 5Xplus
ipad 11 pro 2020
apple pencil 2
mac book pro touch bar 2020
lenovo thinkbook dual screen
homepod mini
View attachment 2088532View attachment 2088533
Kama hivi 😂😂andika ichoboy alaf weka hapo juu ya hzo pesa 😆😆😆😆
I thought one is a noun and the other is a verb.prove and proof means the same thing in Oxford dictionary
proof and prove means the same thing in Oxford dictionary'i can proof you wrong' ?!!! 😳😳
aje hasa.. do you know my PIN !?Personal details za nani, hizo alizoweka hazito mu affect yeye bali zitamu affect mwenye accnt.
I thought one is a noun and the other is a verb.
nataka u mark leo. 19/01/2022. niko na ksh491,201/- ikiwa side hustle tu!. bila kuongeza salo. nataka niku ng'arie, ndio ujue maana civil engineer wa serkali ya kenya ni mtu wa aina gani.We jamaa unachekesha, yn vocher imechoka kweli kweli cjui umeiokota wapi![]()
😂😂😂😂 Hizi pesa 👇 ni zako au Sio zako.? 😂😂nataka u mark leo. 19/01/2022. niko na ksh491,201/- ikiwa side hustle tu!. bila kuongeza salo. nataka niku ng'arie, ndio ujue maana civil engineer wa serkali ya kenya ni mtu wa aina gani.
nb: i ll be updating you every 19th of every month till december... sawa👍🏽!
utajua sisi wa kenyareé ni kina nani. watu wa per capita kubwa
😂😂😂 Mabingwa wa English Africa.? Na hawa nao wasemeje.? 👇.Ndio mabingwa wa Kiingereza Afrika hawa sio?
mjinga hii..😂😂😂😂 Hizi pesa 👇 ni zako au Sio zako.? 😂😂View attachment 2088686
Mbona umemuandama The best 007 .? Au kisa ame expose ujinga wako.? Kunadi uko na hela 👇😂😂😂 kumbe ume download picha.? 😂😂@The best 007 unafanya kazi gani wewe.. aky hauna kazi
😂😂😂 Hii vocha mbona inasomeka kiasi ulichotoa ni buku 1k .? balance after ndio 400k+ .?mjinga hii..
hizi ndizo hela zangu ksh491k (Tsh 10,310,221/-) za sidehustle,.. nyingi shida hiyo picha ya illuminati.View attachment 2088692
either nilidownload ama sikudownload,..... hela tunazo! period! sisi ni serikali tena ya kenya. unaniambia nini wewe mwehuMbona umemuandama The best 007 .? Au kisa ame expose ujinga wako.? Kunadi uko na hela 👇😂😂😂 kumbe ume download picha.? 😂😂View attachment 2088693
Huna hela na ndio mana uli download picha uki claim ni pesa zako za marupurupu 😂😂😂either nilidownload ama sikudownload,..... hela tunazo! period!
Hii vocha mbona inasomeka kiasi ulichotoa ni buku 1k .? balance after ndio 400k+ .?

ya salio lililobaki atakubali? au utakuwa umempa mtego mzito