Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Karma is a bitch. Magufuli is dead, speaker+CAG walifutwa kazi na hakuna opposition Tanzania. Mama fanya chenye unataka.
So kenya kwa sasa ni KC? nyambaff, kanywe supu ya pweza kwa bill yangu😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂mm siijui lakini huna cha kunidanganya wewe 😂😂😂😂 na hutawahi kunidanganya mpaka siku saa itasimama niamini
nakwambia ww huna cha kunidanganya mm 🤣🤣🤣🤣 watu tunaingia number E sasaSo kenya kwa sasa ni KC? nyambaff, kanywe supu ya pweza kwa bill yangu😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
ikiwa ni ppp kenya imetoa pesa kwenye hio project na ilitoa kias gani ??😁😁😁😁 na kwann wachina wataimiliki for 30 good yrs na kwann wachina ndio wata collect hzo pesa na sio serekali???😁😁😁😁😁 na kwann ajira nyingi za hio project zitachukuliwa na wachina kama ilivokua SGRTofauti ya PPP na loan iko wapi? kilaza kwa ubora 😂 😂 😂 😂 😂 😂 mtalipia loan ya SGR yenu na miradi mengine kwa miaka mingapi? sasa serikali ya mama wanatafuta jinsi ya kupata PPP wewe na akili zenye hazijaenda shule unabweka hapa 😂 😂 😂 😂 😂 😂
siku hzi muko busy na siasa za tanzania 😂😂 munasahau mwakani lazima muchinjane kwanzaKarma is a bitch. Magufuli is dead, speaker+CAG walifutwa kazi na hakuna opposition Tanzania. Mama fanya chenye unataka. View attachment 2087772
Kulingana na hii taarifa, naona Kenya ina magari mengi zaidi na mbali maanake hapo kwenu, pikipiki, Tuktuk, Construction vehicles na cranes bado zinasajiliwa na huo huo mfumo wa Txxx AAA na bado mko Txxx DXx ambayo ni sawa na KDX xxxA ya Kenya. Kenya sahii tuko KDG xxxA yet pikipiki, tuktuk, construction vehicles na cranes zinasajiliwa na mfumo tofauti kama ifuatavyo-
Pikipiki - KMxx xxxA
Construction vehicles - KHMx xxx
Tuktuk - KTxx xxxA
County Governments - xxCG xxA
Ikumbukwe kuo katika eneo hili la East Africa, pikipiki hununuliwa kwa wingi zaidi ya magari mengine yote combined. This means if Kenya had the same registration code for motocycles as for other vehicles, sahii tungekuwa tunaongelea KJG xxxA ambayo ni sawa na Txxx JGx ya Tanzania.


bahat nzuri sisi phase 3 tunajenga kwa pesa za ndani na hata hio pesa tuliokopa kwa phase hio still bado 30% imetoka ndaniTofauti ya PPP na loan iko wapi? kilaza kwa ubora 😂 😂 😂 😂 😂 😂 mtalipia loan ya SGR yenu na miradi mengine kwa miaka mingapi? sasa serikali ya mama wanatafuta jinsi ya kupata PPP wewe na akili zenye hazijaenda shule unabweka hapa 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Unaumwa sana, hii ni maumivu, maendeleo ya Kenya itakutesa hadi basi, utavuja povu hapa hadi dunia inaisha ama siku ya kiama, hamgusii levels zetu ni Kiswahili tu utaandika humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂siku hzi muko busy na siasa za tanzania 😂😂 munasahau mwakani lazima muchinjane kwanza
huyo ni zuzu miaka yote humu ndani 🤣🤣 hujifanya anajua kila kitu ukimuumbua anakukasirikia hataki kupewa ukwelioneni hili zuzu.. hapa kashiba maharage ya juzi bas anajiona kaongea bonge la point
hizo pikipiki binafsi kwetu zinasajiliwa kwa MCxxx (MC-motor cycles) na hapo kuna bado za serikali na mashirika ya nje zenye special tags.. magari binafsi ndo yanasajiliwa Txxx
tunacheka vile tanzania leo hii inawanyima usingizi 😁😁😁😁 zile enzi mulizokua munatukana sasa zimeisha mumebakia heshma na adabu 😁😁😁Unaumwa sana, hii ni maumivu, maendeleo ya Kenya itakutesa hadi basi, utavuja povu hapa hadi dunia inaisha ama siku ya kiama, hamgusii levels zetu ni Kiswahili tu utaandika humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Mbona Kenya itoe pesa na ni PPP model? idiot 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., rudi shule kilaza wacha kuhara kwa mjadala kila uchao 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 na uchumi wa Kenya uta paa for those 30 years, zile mabillioni zilizokua zinapotea kwa ajili ya jam hazitapotea tena, na sisi wenye magari tutalipia ada, ukilinganisha na mafuta tumekua tukitumia kwa ajili ya foleni hiyo ni nafuu sana! 😍 😍 😂 😂 💪 , faida ni kwetu pia, kilaza inaitwa "a win win situation!" Mchina anafaidika na kenya inafaidika at the same time, best development model!.., shule wewe ulikataa kuenda sasa ona ulivyo boya 😂 😂 😂 😂 😂 😂ikiwa ni ppp kenya imetoa pesa kwenye hio project na ilitoa kias gani ??😁😁😁😁 na kwann wachina wataimiliki for 30 good yrs na kwann wachina ndio wata collect hzo pesa na sio serekali???😁😁😁😁😁 na kwann ajira nyingi za hio project zitachukuliwa na wachina kama ilivokua SGR
tafakari chukua hatua 😆😆😆😆
Bado Tz inadharauliwa sana.., heshima bado kaka, ni watu kama wewe mnajiletea dharau na kujidhalilisha kwa ajili ya inferiority complex unayo dhihirisha kwa msimamo wako., yule anaye jiamini hajilinganishi, anajikubali kwa vyovyote vile, ata kama ni kile kidogo anacho, kisha anatembea kichwa juu, sio kujaribu kujipaka lipstick na kuficha uchi kwa kutumia propaganda ilhali kila kitu kiko wazi, kiswahili wacha pembeni, ni mchana, tazama mandhari ya dunia, wacha kuota ndoto za aliniacha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂tunacheka vile tanzania leo hii inawanyima usingizi 😁😁😁😁 zile enzi mulizokua munatukana sasa zimeisha mumebakia heshma na adabu 😁😁😁
Nionyeshe hiyo pikipiki iliyosajiliwa na MC🤣🤣oneni hili zuzu.. hapa kashiba maharage ya juzi bas anajiona kaongea bonge la point
hizo pikipiki binafsi kwetu zinasajiliwa kwa MCxxx (MC-motor cycles) na hapo kuna bado za serikali na mashirika ya nje zenye special tags.. magari binafsi ndo yanasajiliwa Txxx
hawa jamaa mpaka wanaudhi!nani alikudanganya 🤣🤣🤣 tuktuk zinsajiliwa kwa number MC na sio T
kujitia ujuaji alaf huna unachokijua 😂😂
View attachment 2087758
Nionyeshe hiyo pikipiki iliyosajiliwa na MC![]()