Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Working hard?, Kama mnafanyakazi kwa bidii iweje tumewafurusha katika masoko yote mliyokuwa mkiongoza?, Rwanda, Uganda na DRC?
let us bet basi. nakuhakikishia kwa maisha yako yote iliyobaki na wengine wote humu, tungoje kama tanzania itawahi zidi kenya kwa size ya uchumi. kwa ufupi.... hakuna siku ... pengine by 2201 AD
 
let us bet basi. nakuhakikishia kwa maisha yako yote iliyobaki na wengine wote humu, tungoje kama tanzania itawahi zidi kenya kwa size ya uchumi. kwa ufupi.... hakuna siku ... pengine by 2201 AD
Masoko yote tumeshawafurusha, tutawafurusha South Sudan pia in shortest time possible.

By the way, Hospitali zetu zimejaa wakenya, tafadhali tunawaomba boresheni huduma katika Hospitali zenu
 
let us bet basi. nakuhakikishia kwa maisha yako yote iliyobaki na wengine wote humu, tungoje kama tanzania itawahi zidi kenya kwa size ya uchumi. kwa ufupi.... hakuna siku ... pengine by 2201 AD
Ila tumewapita katika huduma Bora za Hospitali, uzalishaji wa chakula, export trade, tourism, transportation, Agriculture.......
 
Kwahyo sahvi ukitoa takwimu sahihi ndio ushakua mkenya...fact haipindi hata ufanyeje
Sasa angalia idadi ya magari Tz ilionunua kwa kipindi cha miaka 10 linganisha na kenya ndio mtajua sikua nimeropoka,nmesema ukweli tu

Tz unit 380k,kenya unit 1.381k yani wametuzidi sana hapa lakini kuna watu mtabisha badoView attachment 2085458View attachment 2085459View attachment 2085460

Hizi nazo ni kutoka kwenye source yao Boss

Yaani hapo 380k ndio idadi ya magari bongo? Kwa sasa au ndio hiyo 2015 inayoobekana kwenye data zako.

IMG_4037.jpg
 
Hapana, hii ni too much, hivi kwanini Kenya mnaishi Kama wanyama?
tu ndio nime realize, watz mnaogopa sana kenya., ndio sababu jambo lolote baya likifanyika huko, inakua ni bonge la shangwe vifijo na nderemo. all these brought by extreem jealousy, inferiority complex and low self esteem. damn ya'll waTanga, waNyika na waZanzibari
 
Ila tumewapita katika huduma Bora za Hospitali, uzalishaji wa chakula, export trade, tourism, transportation, Agriculture.......
uchungu yenu ni kwamba, kenya ina idadi ndogo kuliko yenu, 47m and 61m respectively, alafu, alafu.... uchumi wa Kenya inazidi yenu karibu mara mbili !!..
hii ndio sababu kuu magufuli hakuipenda kenya (uwivu). hata bila warning, hakusita, bali ku auction ngombe zetu na kuwauwa vifaranga zetu😪. ingekua ya uganda ama rwanda, kesi ingekua tofauti
 
tu ndio nime realize, watz mnaogopa sana kenya., ndio sababu jambo lofoten baya likifanyika huko, inakua ni bongo la shangwe visitors na nderemo. all these brought by extreem jealousy, inferiority complex and low self esteem. damn you'll waTanga, waNyika na waZanzibaris
Stop your stupidity and reply to the main topic, why do you kill each other like wild animals?, Life in Kenya is valueless isn't?
 
uchungu yenu ni kwamba, kenya ina idadi ndogo kuliko ya tanzania, 47m and 61m respectively, alafu, alafu.... uchumi wa Kenya inazidi yenu karibu mara mbili !!..
hi ndio sababu magufuli hakupenda kenya, (uwivu). hata bila warning, hakusita, ali auction ngombe zetu na kuwauwa vifaranga zetu
Uchumi mkubwa lakini hamuwezi boresha Hospitali zenu matokeo yake Wakenya wanajaza vitanda vya Hospitali zetu
 
Back
Top Bottom