ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nani alipotea haha simulikimbia munatuletea lodge alaf munasema casino😀😀😀😀kwa sababu ulidandia treni kwa mbele. casinos tulimwaga nyingi huku mukapoteleana
Nani alipotea haha simulikimbia munatuletea lodge alaf munasema casino😀😀😀😀kwa sababu ulidandia treni kwa mbele. casinos tulimwaga nyingi huku mukapoteleana
kaduda & Co.Alienza nani???? 😀😀😀😀 dar sio level yenu hii sio ile dar ya 90s 😛😛😛
Mtkfu anayeangaza kila pande..mpiga kampeniBwana yule nani?????😀😀😀😀
Inamaana tukiingia kwenye tundu la mavi nanyie pia munaingia😛😛😛😛😛kaduda & Co.
wow, hyo project ina aim kufanya nini? cant waitSehemu moja tu jangwani ndo kunakuaga na tatizo coz ni bonde lile..sasa project ya Dar metropolitan city under WB itamaliza kabsa matatizo hayo ..
Mtaje jina maana unanipa wasiwasi unapo mwita bwana.....😀😀😀😀Mtkfu anayeangaza kila pande..mpiga kampeni
mulileta apa counter za bar bila equipments za casino tukawaonea huruma 😀😀😀Nani alipotea haha simulikimbia munatuletea lodge alaf munasema casino😀😀😀😀
Jangwani project hii hapa na pesa zishatolewa na world bank😀😀😀😀wow, hyo project ina aim kufanya nini? cant wait
Umesahau mwenzio akaanza kutuletea bar and lodges akasema casino hii ndio 2017 😛😛mulileta apa counter za bar bila equipments za casino tukawaonea huruma 😀😀😀
ndio kwa maana nimesema mukileta picha kuboesha uzi, mimi kwa upande wangu nitachukua some time off from this thread mpaka irudi sawa.Inamaana tukiingia kwenye tundu la mavi nanyie pia munaingia😛😛😛😛😛
rudi nyuma ujionee.. Anna alizidiwa sana akaanza kuleta bar-tenders na lodgesUmesahau mwenzio akaanza kutuletea bar and lodges akasema casino hii ndio 2017 😛😛
Hahah mulikua munataka kuona beauty of tanzania hahaha naona mumepata na homandio kwa maana nimesema mukileta picha kuboesha uzi, mimi kwa upande wangu nitachukua some time off from this thread mpaka irudi sawa.
yaani jiji la 696sqkm linawatia joto mpaka mumeamua kuleta linchi lizima???? smh!
Duh, hii ni kubwa kuliko, so itakua ule upande wa yanga or kule kuliko vunjwa??Jangwani project hii hapa na pesa zishatolewa na world bank😀😀😀😀
View attachment 557235 View attachment 557237
Unafkiri sikuwepo au hahaha mwenzenu alikimbia akaanza kutuletea vituko😀😀😀😀rudi nyuma ujionee.. Anna alizidiwa sana akaanza kuleta bar-tenders na lodges
Ndio mpaka kule brt hq ilipoDuh, hii ni kubwa kuliko, so itakua ule upande wa yanga or kule kuliko vunjwa??