kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
na jangwani penyewe sababu pale kuna mto likini ukienda nairobi kwa wazee wa infrastructure ni shida hadii juu ya vipisi vya fly over![]()
![]()
nairobi pia ina mito kadhaa iliyokatiza katikati au pembezoni mwa jiji.moja ya mito hiyo ni mathare river na nairobi river.kuna wakati hii mito husababisha uchafu mwingi sana kwa jiji.ni kinyaa hata kupita jirani na hii mto.nitaleta picha.