Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

post Serengeti beer msee. you see this is how you lose. hio castle hata mimi nishakunywa sana but ni ya mSouth Africa. mbona usi promote beer yenu?
castle is my favorite beer since 2008.I can't switch to serengeti just b'se it is made in tz.i drink for fun not for pride.karibu budaa
 
castle is my favorite beer since 2008.I can't switch to serengeti just b'se it is made in tz.i drink for fun not for pride.karibu budaa
wacha io iwe siri yako. castle iko poa btw... used to switch it with Guinness... promote beer ya kwenu kwanza.
 
post Serengeti beer msee. you see this is how you lose. hio castle hata mimi nishakunywa sana but ni ya mSouth Africa. mbona usi promote beer yenu?
Wewe kweli bwege mbona na nyinyi promotion ya beer yenu hamfanyi.??
2017-07-18-16-34-11-1549212195.jpeg
mathare.jpg
 
nairobi pia ina mito kadhaa iliyokatiza katikati au pembezoni mwa jiji.moja ya mito hiyo ni mathare river na nairobi river.kuna wakati hii mito husababisha uchafu mwingi sana kwa jiji.ni kinyaa hata kupita jirani na hii mto.nitaleta picha.
powa leta leta.....maana hawa majamaa mi huwa nawaitaga wazee wa infrastruction
 
10yrs na bado muko nyuma sana.... kutujazia thread na tutower tuwili tu. ukiuliza mKenya yeyote akutatajie tower za dar atakuambia pspf na tpa. basi. jifundisheni marketting tafadhali
sampuli yako wasioijua dar ndiyo watasema hivyo..
 
haunipangii cha kufanya... ntazidi kuwakera nyinyi taifa masikini wa kutupwa kwa kuwaonyesha picha na maendeleo mbali mbali yanayoendelea ndani ya +254 mpaka mujitie kitanzi.
mimi huwa situkani... hio negative energy nilikuwa natumia zamani kwa Big Brother Africa. saa hizi nimekuwa mtu mzima. badala ya kukutukana, especially wewe mtu wa ldc, naona heri nikucheke tu kwa dharau. lol! sorry bruh.
# it is what it is
mambo vip chokoraa lewis
 
Back
Top Bottom