Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sehemu moja tu jangwani ndo kunakuaga na tatizo coz ni bonde lile..sasa project ya Dar metropolitan city under WB itamaliza kabsa matatizo hayo ..
na jangwani penyewe sababu pale kuna mto likini ukienda nairobi kwa wazee wa infrastructure ni shida hadii juu ya vipisi vya fly over
 
943baddee3e32e9606cb9fee61ade39d.jpg
 
Asante BBC leo mmenionyesha matatu mabasi yatumikayo jijini Nairobi,mkome KABISA kuilinganisha Dar na huo uchafu wenu.katikati ya jiji bado mnatumia had hiace za kubeba abilia 15 jamani!!aibu sana.Veva Dare es Salaam jiji bora KABISA lenye uduma za kisasa sio ayo matatuu yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unashangaa vipanya nyangau wanampaka Chai maharage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanjala picha zile zile. Its real boring. Yani ina bore. YouTube unatuletea hospitali wakati huko tulitoka zamani. Nataka twende kwenye casinos.
 
Tuleteeni casinos kutoka Kenya sijawahi hona hata moja kutoka Kenya humu. Jiji bila casino sio jiji.
 
mlianza kuvizia vizia mkileta picha za nje ya dar... ziwekeni tu. tumewapatia ruhusa. ila sisi tutakaa kando. mukishamaliza tutarudi.
Alienza nani???? 😀😀😀😀 dar sio level yenu hii sio ile dar ya 90s 😛😛😛
 
German Firms to start making products straight from Tanzania no more importation
 
Back
Top Bottom