Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

si useme tu 100% ndio ujiliwaze.....download google earth and see the world for yourself then compare with those poor villages of yours in tanzania you call cities
Huzuni yote hii kisa Dom imeichapa Nairobi?
 

I just can't πŸ˜‚πŸ˜‚. Tanzanian police ni walalahoi tu in tattered uniforms

πŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈ

Nikikumbuka kwamba Miaka 5 iliyopita Mwendazake hakuweka nguvu kabisa kwenye barabara huwa nakasirika Sana.

Tangu alivyoachiaga JK hakuna barabara za maana zilijengwa yaani hadi leo utashangaa western zone hadi leo hakuna barabara zinaunganisha mikoa hiyo,hivyo hivyo kwa Kanda ya Kusini Kati,nk nk.
 
[emoji23][emoji23]
 
Safi sana, hebu muambie Teargas kwamba hizi ni slip lanes[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unazungumza vitu gani wewe?
 
Hii picha imedhihirisha vingi kuhusu Thika road, kumbe ni 6lane road ambapo ukijumlisha na service roads inakuwa 10 lane road at some areas kwasababu hizo service road haziendi mbali, so leo nimegundua kwamba kumbe Thika road ni 6lane road.
 
So, Busia ndio Southern bypass? The King of unmarked roads in East and Central Africa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2078992
Mara mingi nimekuambia chunguza kwanza kabla ya kukurupuka ama fyata hausikii sasa ona unavyoniaibisha Man useless πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., so pia na hii hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ haiko marked? it is called google earth idiot πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , pictures are not crystal clearπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Nikitazama all roads in Tz through google earth none appear marked., kilaza wewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



Ata niki zoom.., markings hazionekani..,

Mbona kwa google earth almost kila sehemu ya Dar looks backward?..., few organized estates., the rest bana!.., itawachukua generations kadha to change these πŸ‘† πŸ‘†
 
JIJI MZIMA INA MUONEKANO WA KIBERA TU....LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…