Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Huwa ukiambiwa ukweli unasema ni povu😂😂ukhkhekhe nilitegemea povu hili ni kawaida kwako 🤣🤣🤣🤣
Huwa ukiambiwa ukweli unasema ni povu😂😂ukhkhekhe nilitegemea povu hili ni kawaida kwako 🤣🤣🤣🤣
So makampuni za kutengeneza equipment meant for Tanzania pekee ndio zilifungwa?😂😂😂 Mbona nchi zingine ujenzi ulikuwa unaendelea tu vizuri?kwani makampuni duniani hayakufungwa au hujui hata kwann diesel na petrol kwann zilishuka bei vibaya sana??😂😂😂
THEIR Money is not THEIR Money😀Money donated by other Countries not yours.
We bring food to the starving Kenyans without which many would die.![]()
ukweli wakat reli inaeleke mwanza 1200km ww unaongelea mambo ya ukweli gani??🤣🤣 nyinyi ile reli ya miaka 100 iliopita imegeuka kua white elephant au nadanganyaHuwa ukiambiwa ukweli unasema ni povu😂😂
sio tanzania hata nyinyi muliathirika kwa namna yoyote na dunia nzima 😂😂 unatafuta kisingizio cha kutokea hapa hutokiSo makampuni za kutengeneza equipment meant for Tanzania pekee ndio zilifungwa?😂😂😂 Mbona nchi zingine ujenzi ulikuwa unaendelea tu vizuri?
1)Five international stadiaKwani Tanzania kulikuwa na covid?
Alafu hiyo mvua kwani inanyesha tu Tanzania pekee?






Tanzania haikuwa na corona so acha kusingizia corona.sio tanzania hata nyinyi muliathirika kwa namna yoyote na dunia nzima 😂😂 unatafuta kisingizio cha kutokea hapa hutoki
1)Five international stadia
2)Laptop per child
3)Five big water dams
4) Galana kulalu project
5)SGR to Kampala and Kigali
6)![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ww unaleta chuki zako na wivu wako usiokua na maana yoyote 🤣🤣🤣🤣Tanzania haikuwa na corona so acha kusingizia corona.
ww unaleta chuki zako na wivu wako usiokua na maana yoyote 🤣🤣🤣🤣
He who feeds you, controls you.in short we bring money into the hands of your poor farmers
Ubungo level ya juu ndio ndefu 725mTanzanian longest flyover which is the only one in the country is Tazara which is 400 meters, alafu Ubungo interchange is 200 meters![]()
Ulitaka tuingie mkataba wa kipuuzi kama ule wa SGR Kenya?Makubaliano yalifikiwa wakati wa Kikwete ila aliyeyasimamisha ni Magufuli. Isitoshe kulikuwa na makubaliano ya ziada ambayo yalitakiwa yafikiwe ila Magu kwa kawaida yake akaleta mtafaruku kwenye majadiliano hayo akisema kwamba investors wanataka kuwakandamiza Watanzania. Matokeo yake ni kwamba mumekosa kutumia rasilimali yenu huku jirani yenu akijitayarisha kuanza kuzalisha gesi by June this year.
Unataka kusema huko wanakotengeneza train hakukuwa na covid iliyosababisha delay kwenye delivery ama?Kwani Tanzania kulikuwa na covid?
Alafu hiyo mvua kwani inanyesha tu Tanzania pekee?
So trains za Tanzania pekee ndio zimekuwa affected na corona?Unataka kusema huko wanakotengeneza train hakukuwa na covid iliyosababisha delay kwenye delivery ama?
Kuna mtanzania mwingine alikuwa anasema ati ni 5km.Ubungo level ya juu ndio ndefu 725m
Vitabu vya makampuni mengi ya kutengeneza trains vina delayed order nyingi mpaka 2023So trains za Tanzania pekee ndio zimekuwa affected na corona?
Ebu leta those books tuziangalie?Vitabu vya makampuni mengi ya kutengeneza trains vina delayed order nyingi mpaka 2023
Kwahiyo Kama bidhaa zetu na mazao yetu hakuna soko ya kuuza kwasababu nchi zimejifungia ndani, Tanzania haiwezi kuathirika kiuchumi hata Kama hakuna Corona?Are these tweets talking about Tanzania?![]()