Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It is the busiest airport in the region in terms of number of aircraft landing and taking off.
Busiest Airport kwa hivi vindege vidogo ni upuuzi mtu go and ask how much they earn vs wear and tear of the runway, Single landing of a big aircraft,I mean itue mara moja tu,confident nakuhakikishia itakupatia pesa nyingi kuliko vikatua hivyo vindege zaidi hata ya vidogo 60.
 
w.png

s.png

q.png

Chanzo
 
Hesabu ya kupata pesa kwny landing fee= Rate x Uzito wa ndege( Maximum Take off Weight). Rate inategemea na category ya kiwanja ambayo inakuwa determined na facilities zinazopatikana kwny kiwanja husika ikiwepo AGLs (taa za kwny runway) pamoja na fire cover ( fire tender) etc.
 
Sisi hatuwezi kungojea mradi unaojikokota kwa mkongojo. Mradi huo ujenzi wake utaanza mwaka wa 2023, mark my words. Kwa sasa sisi tunaendelea kufanya mambo yetu bila kutambua mambo ya EACOP maana hatujui kama ujenzi utaanza au la. Hatujui kama ujenzi utakamilika au ujenzi utakwama. Hatuwezi kupanga mambo yetu kwa kuangalia jirani naye anafanya nini. Hata wewe kwako usiwe unakula kisha unajiuliza jirani naye kapika nini, wewe jishughulishe na mambo yako, wacha jirani afanye mambo yake. Hivi karibuni mtakuja kujua sisi ndio superpower ukanda huu na kati. Muda si mwingi, subiri tu.
Hahahaha, few years back Kenya was the biggest Cement producer, biggest Exporter to all countries in this region, a tourism hub, biggest spender of development projects, now everything is upside down
 
Busiest Airport kwa hivi vindege vidogo ni upuuzi mtu go and ask how much they earn vs wear and tear of the runway, Single landing of a big aircraft,I mean itue mara moja tu,confident nakuhakikishia itakupatia pesa nyingi kuliko vikatua hivyo vindege zaidi hata ya vidogo 60.
This airport is meant for small aircraft so that we can't waste time at the busy JKIA landing small aircraft. If you want to see big aircraft, go to JKIA which handles more than all your airports combined. Sio hapo kwenu hata ndege ya watu wawili inaland in your major airport alafu hapo hapo ndio mna airforce yenu. Ndio maana JNIA handles very few passengers - wasting time landing tiny aircraft.
 
the likes of chicago, atlanta, LA, dubai, singapore, soul.. etc. should actually be our role models we should emulate from, as east africans.
i only thank God that the east african block is now dubbed the new china of africa. (ie. ethiopia, kenya, tanzania and rwanda in particular). otherwise the rest of the blocks are extreemly dormant; and especially west africa. initialy we were a laughing stock (east), as the poorest block in the world. but now the game is different. infact our capital cities are now on steroids, we are now joining the international league. even our infrastructure is starting to get out of this world
We should work hard safari ni ndefu
 
Back
Top Bottom