Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What's so special about this thing kitovu? Mbona Mtwara, Tanga na Kigamboni zipo kama hizi nyingi tu? 🤔
Tupa hio bangi mbovu unayovuta huko. Bangi sio nzuri kwa afya yako. Nyie hamna vidude kama hivyo kwenye port zenu. Usidhani sisi hatuielewi Tanzania mbele nyuma. Tunajua hata kama mumevaa chupi au la. Hizi mashine mtakuja Kenya kuzitazama na kuzubaa.
 
Longonot Satelite Station.

1641486117605.png

1641486147915.png
 
Sikiliza Buda acha ubwege. Sisi tuna International Airports 3 ambazo ziko busy through out the year na ndege za Kimataifa. Viwanja hivyo ni JNIA, KIA na Zanzibar ukiacha vingine vidogo kama Mwanza na Songwe. Sisi hatutegemei ka-uwanja kamoja kama nyie ndio maana huwezi kukuta viwanja vyetu vimejaa kibwege. Nchi yetu inaendelea left right and center tofauti na nyie mji ni Nairobi tu. Kwanza ni ajabu kujivunia kauwanja kalikojaa vindege hadi pa kupark hakuna, Airport inasuffocate mpaka hewa hakuna. FYI hiyo sio credit ni failure, so wake up and re-evaluate your strategies, mtajikuta nyuma sana na hatupendi tuwaache nyuma hivyo majirani zetu, at least msiwe mnashangaa sana baadhi ya mambo madogo madogo kama train za umeme na ndege za viwango
None of your airports is busy😂😂

JNIA - 2.5M passengers in a year, JKIA 11M passengers in a year.
 
Back
Top Bottom