Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Plus Arusha pembeni kuna KIA for International and Arusha Airport for Domestic, same itakuwa Dodoma baada ya Msalato kukamilika. Hizi jamaa zinaleta mambo ya kizamani ambayo sisi tuliishafanya zamani sana
Basi si mlete hyo aerial tulinganishe idadi ya ndege km wilson..
Nimetamani kucheka kiasi
 
Pale JNIA kuna 3 terminals, terminal 1, terminal 2 ambayo ni kwa domestic flights na terminal 3 ambayo ina serve international flights, no research no right to say.
Global cities zikona 2 or more airports due to high flight traffic. JNIA bado air traffic iko chini despite passengers connecting to Zanzibar or Kilimanjaro.
 
Huwezi compare jiji ambalo abiria wengi wanasafiri kwa shugli za kibiashara na some place where people fly for leisure. Someone traveling for business can check in multiple times annually while someone traveling for leisure can check in once.
 
Nani alikuambia JKIA haina domestic terminal? In fact hadi ikona a terminal dedicated for low cost carriers alone.
On a light note, though a fact; kumbe Tanzania ni nchi ya only one "things" 😂 😂 😂 , nchi ya City moja, kwa hiyo city, CBD ni moja, sasa naona airport ni moja.., Nairobi has three! 😂 😂
 
Basi si mlete hyo aerial tulinganishe idadi ya ndege km wilson..
Nimetamani kucheka kiasi

Sikiliza Buda acha ubwege. Sisi tuna International Airports 3 ambazo ziko busy through out the year na ndege za Kimataifa. Viwanja hivyo ni JNIA, KIA na Zanzibar ukiacha vingine vidogo kama Mwanza na Songwe. Sisi hatutegemei ka-uwanja kamoja kama nyie ndio maana huwezi kukuta viwanja vyetu vimejaa kibwege. Nchi yetu inaendelea left right and center tofauti na nyie mji ni Nairobi tu. Kwanza ni ajabu kujivunia kauwanja kalikojaa vindege hadi pa kupark hakuna, Airport inasuffocate mpaka hewa hakuna. FYI hiyo sio credit ni failure, so wake up and re-evaluate your strategies, mtajikuta nyuma sana na hatupendi tuwaache nyuma hivyo majirani zetu, at least msiwe mnashangaa sana baadhi ya mambo madogo madogo kama train za umeme na ndege za viwango
 
eldy ni noma saaana.... tz hakuna miji kama za kikenya. ie. miji zetu zote ni model moja na nairobi. kenya tuko ba standards flani, tanganyika hakuna
My is the best in cooking, toka hapo kijijini uone dunia ilivyo.
 
Sikiliza Buda acha ubwege. Sisi tuna International Airports 3 ambazo ziko busy through out the year na ndege za Kimataifa. Viwanja hivyo ni JNIA, KIA na Zanzibar ukiacha vingine vidogo kama Mwanza na Songwe. Sisi hatutegemei ka-uwanja kamoja kama nyie ndio maana huwezi kukuta viwanja vyetu vimejaa kibwege. Kwanza ni ajabu kujivunia kauwanja kalikojaa vindege hadi pa kupark hakuna, Airport inasuffocate mpaka hewa hakuna. FYI hiyo sio credit ni failure, so wake up and re-evaluate your strategies.
I know your airports na flight data., they are quite dormant, eti busy wapi! kwanza Zanzibar ni Kenya airways na jambo jet zinashuka na ku paa kwa wingi kuliko ndege zingine zote.., kama sio Kenya your airports are white elephants., Wilson Airport iko kivyake, na inapendwa na domestic and some international flights.., yaani Kenya ndege ni mingi mno na sio ukosefu wa airport kama unavyo dhania.., kwenu bado sana, wacha hizi empty excuses, unatetea what is not there., 😂 😂 😂 😂
 
Sikiliza Buda acha ubwege. Sisi tuna International Airports 3 ambazo ziko busy through out the year na ndege za Kimataifa. Viwanja hivyo ni JNIA, KIA na Zanzibar ukiacha vingine vidogo kama Mwanza na Songwe. Sisi hatutegemei ka-uwanja kamoja kama nyie ndio maana huwezi kukuta viwanja vyetu vimejaa kibwege. Nchi yetu inaendelea left right and center tofauti na nyie mji ni Nairobi tu. Kwanza ni ajabu kujivunia kauwanja kalikojaa vindege hadi pa kupark hakuna, Airport inasuffocate mpaka hewa hakuna. FYI hiyo sio credit ni failure, so wake up and re-evaluate your strategies, mtajikuta nyuma sana na hatupendi tuwaache nyuma hivyo majirani zetu, at least msiwe mnashangaa sana baadhi ya mambo madogo madogo kama train za umeme na ndege za viwango
Leteni hata kutoka JNIA hyo aerial tuione
 
I know your airports na flight data., they are quite dormant, eti busy wapi! kwanza Zanzibar ni Kenya airways na jambo jet zinashuka na ku paa kwa wingi kuliko ndege zingine zote.., kama sio Kenya your airports are white elephants., Wilson Airport iko kivyake, na inapendwa na domestic and some international flights.., yaani Kenya ndege ni mingi mno na sio ukosefu wa airport kama unavyo dhania.., kwenu bado sana, wacha hizi empty excuses, unatetea what is not there., 😂 😂 😂 😂
Hata ukiangalia flight Radar sahii utaona kuna Qatar Airways inatoka Kilimanjaro inaenda JNIA kujazilia. 😂😂😂😂
 
those are called hangars kijana wa tandale, and those are standard deigns for aircraft hangars
1641483034665.png
 
Hii ni tembo mweupe maana Uganda will be ur main source of both crude n refined oil n also to the region!
Sisi hatuwezi kungojea mradi unaojikokota kwa mkongojo. Mradi huo ujenzi wake utaanza mwaka wa 2023, mark my words. Kwa sasa sisi tunaendelea kufanya mambo yetu bila kutambua mambo ya EACOP maana hatujui kama ujenzi utaanza au la. Hatujui kama ujenzi utakamilika au ujenzi utakwama. Hatuwezi kupanga mambo yetu kwa kuangalia jirani naye anafanya nini. Hata wewe kwako usiwe unakula kisha unajiuliza jirani naye kapika nini, wewe jishughulishe na mambo yako, wacha jirani afanye mambo yake. Hivi karibuni mtakuja kujua sisi ndio superpower ukanda huu na kati. Muda si mwingi, subiri tu.
 
Back
Top Bottom