Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona me naona ndege mbovu na vidogo vidogo vya watalii au we unaona kuna ndege hapo?
Hii airport inakutesa mbona? 😂 😂 😂 😂 ..,utanyooka tu, mambo kama haya haujazoea kuyaona., ni 2022.., vumilia kaka hapa ni Nairobi na si JKIA, hii airport serves domestic and international traffic 😂 😂 😂 .., one of the busiest Airport in Africa., najua haukua unajua hilo.,

wacha nikupunguzie maumivi na wivu..,
1641470534222.png

Hangars at Wilson Airport..,
1641469905569.png

WILSON., 🔥 🔥 🔥

1641469987145.png

1641470001575.png

1641470015562.png

1641470033907.png

1641470110371.png
 
Uzi umekua wa kisiasa sana mpaka unaboa,kuna watz humu wanadiss kila akifanyacho mama!huo umeme wa elfu 27 kuna watu toka june wameomba umeme na hawajapata,kuna sehemu mama anakosea lakini kuna sehemu yuko sahihi,hata magu kuna sehemu alikua anakosea kama kibinadamu
Mkuu subiri kwanza ule wali mkavu ndio uje kumsifia mama
 
Hii ni tembo mweupe maana Uganda will be ur main source of both crude n refined oil n also to the region!
It is to serve Kenya mostly; our energy needs, Uganda is a by the way, itapunguza bei ya mafuta, if you know the meaning of that. Ile pipeline ya Uganda mlianza kutengeneza ama bado mnatafuta hela?
 
Ndege za watalii eti? ., unaumia sana.., nionyeshe Dar kama hizo basi?.., ama nje ya Dar any airport with such many planes., mbona unaongea kwa maumivu hivyo eti mbovu, wivu ni mbaya mzee ni 2022, zile tabia zako za 2021 wachana nazo.., niletee maendeleo ya Tanzania na wewe pia, think positive, negative energy wacha vijiweni kuleee.,
Jamaa kw akili zake busiest ni ndege za kutoka marekani na ulaya
 
Uzi umekua wa kisiasa sana mpaka unaboa,kuna watz humu wanadiss kila akifanyacho mama!huo umeme wa elfu 27 kuna watu toka june wameomba umeme na hawajapata,kuna sehemu mama anakosea lakini kuna sehemu yuko sahihi,hata magu kuna sehemu alikua anakosea kama kibinadamu
27k inafaa vijijini uko sio kila mahali
 
Takataka inakopa til 1.3 kwa mwezi mmoja for nothing ,hapo ukikokotoa kwa miezi 12 = til 15 zidisha kwa miaka 5 = Til75 hizi ni akili au mafiii
Hesabu zako zakijinga sijapata kuona...unafikiri inawezekana kukopa kila mwezi trillions 1.3 ?unawaza kama kuku
 
Uzi umekua wa kisiasa sana mpaka unaboa,kuna watz humu wanadiss kila akifanyacho mama!huo umeme wa elfu 27 kuna watu toka june wameomba umeme na hawajapata,kuna sehemu mama anakosea lakini kuna sehemu yuko sahihi,hata magu kuna sehemu alikua anakosea kama kibinadamu
Kwanini asiweke hata sh150000 ,mama hakuna kitu kwa kasi ya kukopa anayo kwendanayo til1.3kwa mwezi ×5years= til75
 
Hii airport inakutesa mbona? ..,utanyooka tu, mambo kama haya haujazoea kuyaona., ni 2022.., vumilia kaka hapa ni Nairobi na si JKIA, hii airport serves domestic and international traffic .., one of the busiest Airport in Africa., najua haukua unajua hilo.,

wacha nikupunguzie maumivi na wivu..,
View attachment 2070619
Hangars at Wilson Airport..,
View attachment 2070605

WILSON.,

View attachment 2070607
View attachment 2070608
View attachment 2070609
View attachment 2070610
View attachment 2070611
Tundege tudogo tudogo kama nzi
 
Back
Top Bottom