Ona vile unajibu, kiboya sana 😂 😂 😂 ,haupendi ukweli kabisaa, ila hakuna sehemu nimeona mtu amedharau miji za ki china, ilikua kulinganisha Cheng Du na Chicagi tu, yani unalazimisha fikra zako tu na mtazamo wako.., nimesema on average china iko na cities kibao zilizo endelea kuliko USA or any in the world, hiyo kwa akili zako ni dharau ama unakurupuka tu ovyo ovyo angalau uonekane umejibu? pole bro 😂 😂 😂 😂 😂 bamzee ni 2022, badilika na wewe, mature bro.., zile debate za kitoto sasa weka pembeni..,