Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe, unajua shida yenu watanzania mna daraja kama tatu au nne hivi za kuvukia watu nchi nzima na zote ziko Dar. Hapa Kenya madaraja ya kuvuka watu hayahesabiki hata kwa miji midogo na vitongoji kama Londiani yapo. Yani kila kimji kilicho kando ya busy highway hapa Kenya hutakosa footbridge. Natumai hujawai sikia neno Londiani maanake ni kakitongoji tu Kandi ya Barabara Muhimu ya Nakuru - Kisumu. Sasa haya madaraja yanapowekwa sehemu chaotic za mji kama vile masoko au poor residential areas, utapata mambo kama hayo ya kuvusha boda boda yakufurahishe kama mbongo. Tofauti na hayo matatu ya hapo kwenu ambayo ni national treasure mmeyalinda utadhani ni ikulu.

Hivi ile brt imeishia wapi?
 
Aerial views ziko clear, camera angles na sijui eti malls etc hazibadilishi ukweli.., Chicago is above Cheng Du.., now go and get statistics ya kila sectors of the two cities.., even standards of residential, sio tu muonekano wa vigorofa na wingi.., hope unaelewa my perspective.

Chengdu GDP is USD$458.5 Billion na population ya 16.3 million! (apartments zitakua kwa wingi, na uchumi ya raiya moja moja itakua ndogo), kwa hii population, Cheng Du automatically will be bigger than Chicago but not better..,
Chicago GDP is 618.62 Billion (2019 estimates) with a smaller pupation of 2.7 Million! (high standards of living, higher income distributed to majority of the populace)
A summary of US cities economic output...,
View attachment 2068163
Aah bro nilijaribu kuifuatilia hii miji yote miwili na conclusion nikapata Chicago is overrated, alafu kuwa na mji mkubwa na population haimaanishi eti ndio kuwa na low standard of living, u should know that, ukumbuke hao ni wachina bro kasi Yao ya maendeleo hata US hatii pua, kwahyo technology and innovation Chengdu iko mbele ya Chicago,

Pili shughuli za kiuchumi chengdu ni nyingi kulinganisha na Chicago, ipo kampuni ya kutengeneza magari ya Volvo inayozalisha $45 billion annually na kampuni zingine nyingi tu,

Hata masuala ya transportation, both land and air transport, Chengdu is above Chicago by far, mambo ya aviation uko ndio ni noma kwasababu chengdu Sichuan international airport Ina handle about 55m passengers annually while Chicago O'HARE international airport handles about 30m passengers annually, and u also have to know that Chengdu wamefungua uwanja mwingine wa ndege mkubwa utakao handle 100m+ ..
N.k
 
wakenya walirogwa na nani🤣🤣🤣🤣

277DC47D-44F3-436F-8E65-13E6C730FC28.jpeg

huyooo 😃😃😃 anakimbia mdogo mdogo
Unajua uku Africa tukiskia neno US tunaogopa kutokana na jamaa walivyojitangaza na ukweli kwamba jamaa walitangulia kimaendeleo, pamoja na tunavyoabudu kiingereza.. ila hii ni tofauti kabisa kwa China, kwasababu kwanza inatumia lugha yake yenyewe, inajiongoza yenyewe, na inafanya maajabu balaa, tuombe tu hawa jamaa wasije pata wazo la kuitawala dunia, mana si ajabu hata ukiskia US imetawaliwa na China
 
Maza kajitahidi mwanzo nilikua na waswas nae kwamba spidii itapungua katika makusanyo ya kodi ila naona anajitutumua
Speed bado ni ileile ya awamu ya 5, kafanikiwa kumantain tu sababu alichokusanya ni sawa na kilichokusanywa awamu iliyopita

Hapa ni kwa miezi mitatu ilipatikana trillion 5, yeye miezi 6 imepatikana trillion 11 ni almost the same tu

Acha kutapatapa Mzee,for the reviewed period, revenues growth is 17% and 20% in first and second qtr respectively when compared to the previous fy of 2020/2021.
 
Aah bro nilijaribu kuifuatilia hii miji yote miwili na conclusion nikapata Chicago is overrated, alafu kuwa na mji mkubwa na population haimaanishi eti ndio kuwa na low standard of living, u should know that, ukumbuke hao ni wachina bro kasi Yao ya maendeleo hata US hatii pua, kwahyo technology and innovation Chengdu iko mbele ya Chicago,

Pili shughuli za kiuchumi chengdu ni nyingi kulinganisha na Chicago, ipo kampuni ya kutengeneza magari ya Volvo inayozalisha $45 billion annually na kampuni zingine nyingi tu,

Hata masuala ya transportation, both land and air transport, Chengdu is above Chicago by far, mambo ya aviation uko ndio ni noma kwasababu chengdu Sichuan international airport Ina handle about 55m passengers annually while Chicago O'HARE international airport handles about 30m passengers annually, and u also have to know that Chengdu wamefungua uwanja mwingine wa ndege mkubwa utakao handle 100m+ ..
N.k
Now look here, yaani city ya watu 16.3 million, airport yao sio maajabu ku handle 55m passengers., linganisha na mji wa watu 2.7m. ilhali airport yao ina handle 33million, ebu elewa kitu hapo. Kumbuka pia Chicago ni ndogo ata kwa Dar..,

Shughuli za kiuchumi Cheng Du zingekua kubwa kuliko Chicago inge reflect kwa GDP., hii ndio picha halisi ya kuonyesha shughuli za kiuchumi., yaani economic output.., understand one thing "movement does not necessarily mean progress". Pato ya hizo industries in Chengdu ni ngapi ukilingasnisha na Chicago?

In Chengdu standards of living on average can't level with Chicago, kuna ufukara Cheng Du, though sio kubwa kama za Africa, ila some ni kama za third world countries kama haujui., nakubaliana na wewe, population kubwa haimaanishi ufukara, but economic output ya specific place in relation na population can determine maisha ya watu wa pale., mkiwa wengi na pato ni kidogo unategemea nini?., na mkiwa wachache pia na pato ni mingi but not well distributed bado ufukara utaonekana., America has better systems, low corruption and big economic output yet smaller population, ina maana fursa za kujiendeleza ziko kibao karibia kwa kila mtu in different levels ukilinganisha.., Chicago is not overrated, kuna facts to prove it is way ahead on average for such a size.
Chengdu is developed, like many Chinese cities with state of the art infrastructure, sijapinga, my argument remains, Chicago is above on average licha ya kukua ndogo kwa Chengdu, thus high standards of living for its citizens.

Chengdu has laid a solid foundation as an Economic & Technological Development Zone. It is also regarded as a modern manufacturing base and a new city for scientific and technological innovation and industrial restructuring. A recipe for more growth and development. Population kubwa ukilinganisha na pato ndio inaivuta chini., ina maana mishahara haitakua kubwa kama standards za Chicago. Na ndio maana many investors wanakimbilia china, low wage bill, thus maximizing on profits.
 
Mkuu wa mkoa kasema daraja la jangwani litagharimu zaidi 190B . Ukilinganisha na daraja la wami linajengwa kwa 67B . Inaonesha litakua ramani Kali sana kwa hiyo gharama
 
I liked hii vlog ya Liv Kenya
Sama boy 255 ., nataka ya Dar., progressive areas, with street level views.., not battle, just comparison analysis, critique and advantages and disadvanteges of specific infrastructures, and what can be done better...,
 
Now look here, yaani city ya watu 16.3 million, airport yao sio maajabu ku handle 55m passengers., linganisha na mji wa watu 2.7m. ilhali airport yao ina handle 33million, ebu elewa kitu hapo. Kumbuka pia Chicago ni ndogo ata kwa Dar..,

Shughuli za kiuchumi Cheng Du zingekua kubwa kuliko Chicago inge reflect kwa GDP., hii ndio picha halisi ya kuonyesha shughuli za kiuchumi., yaani economic output.., understand one thing "movement does not necessarily mean progress". Pato ya hizo industries in Chengdu ni ngapi ukilingasnisha na Chicago?

In Chengdu standards of living on average can't level with Chicago, kuna ufukara Cheng Du some ni kama za third world countries kama haujui., nakubaliana na wewe, population kubwa haimaanishi ufukara, but economic output ya specific place in relation na population can determine maisha ya watu wa pale., mkiwa wengi na pato ni kidogo unategemea nini?., na mkiwa wachache pia na pato ni mingi but not well distributed bado ufukara utaonekana., America has better systems, low corruption and big economic output yet smaller population, ina maana fursa za kujiendeleza ziko kibao karibia kwa kila mtu in different levels ukilinganisha.., Chicago is not overrated, kuna facts to prove it is way ahead on average for such a size.
Chengdu is developed, like many Chinese cities with state of the art infrastructure, sijapinga, my argument remains, Chicago is above on average licha ya kukua ndogo kwa Chengdu, thus high standards of living for its citizens.
Shida yako wew unazungumzia Vitu ambavyo unadhania tu, hizi tunaita dhana dhahania, Uwe unajitahidi kufuatilia hizi mambo kwa ukaribu, HEB ngoja nikupeleke Chicago hoods uzione 👇. . . . America is slowly becoming third world country.. hakuna shughuli za kiuchumi zinazoingiza mtonyo mrefu zaidi ya hizi
1. Transportation (air transport, land transport and water transport)
2. Innovation, science and technology
3. Production
4. Exportation.

Vyite hivyo ni vitu ambavyo Chengdu inaipiga mbali mno Chicago, ukumbuke kwamba hizi shughuli pia ndio zinasaidia ukuaji wa living standards.. sasa sijajua wewe unaiteatea Chicago kwa kuangazia upande upi, mana modernity na ukubwa Chengdu wins by far..
 
Bado hauwelewi chochote., naona unataka tu ku argue to win, unataka kulazimisha maoni yako tu, u ain't getting it, facts haujaweka ni vipicha tu, cherry picked to support your argument, na empty rhetorics.
Hapa nakuwacha hivi 👇 👇 .., move to the next topic, hapa nikujichokesha bure 😂 😂 😂
1641301805232.jpeg
 
Back
Top Bottom