Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Capitalistic mind is the one which exposed you to land grabbers, corrupt and greedy politicians, tribalism and slums
 
Apart from being stuck in traffic, matatus are better than your failed BRT. It`s you have accepted that your BRT has failed miserably.

Before ya kusema ni ufisadi jiridhishe kwanza kwenye mchanganuo wa cost.Ni lazima tujue pia kwa Sasa kutokana Covid materials duniani ni very expensive kwa Sababu ya low production na pia huenda Kuna design changes.Sitaki kuishi kwa hisia labda wachumi watusaidie.Tujiulize pia kipande cha Dar-Moro kilicho kwenye Tambalale tu kilicost how much?
 
Apart from being stuck in traffic, matatus are better than your failed BRT. It`s good you have accepted that your BRT has failed miserably.
Sasa unasema ni bora alafu hapo hapo unasema ina stuck in traffic hivi una akili sawa sawa wewe? ebu kunywa mirinda kwanza mana naskia unapenda sana mirinda wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku hiz ni mwendo wa kuwatembezea mirinda tu 😂😂😂😂😂
 
Umeona Pavement hiyo kulia na kushoto kwa ajili ya Pedestrians , Ni all the way inaenda kuishia Pale Bibi Titi Mohd opposite na maktaba Kuu.
Aisee ckuwahi kufikiria hili mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ni kweli kabisa hii pavement ni ndefu nadhani inaweza ikawa ndefu zaidi East and Central Africa kama co Africa kabisa, yani inatoka JNIA terminal one mpaka posta wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeona Pavement hiyo kulia na kushoto kwa ajili ya Pedestrians , Ni all the way inaenda kuishia Pale Bibi Titi Mohd opposite na maktaba Kuu.
Lakini pia kama tutaelekea pale maktaba complex basi pia hyo pavement itakuwa na urefu wa zaidi ya km 11 pia, dah ckuwa najua walahi [emoji116][emoji116][emoji116]
 
kila leo mnalia eti kenya kuna vipanya. hapa ni Jo'burg. hebu toeni hizo zenu critics kwa nchi ilio na uwezo zaidi africa nzimaView attachment 2061637View attachment 2061638
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe wakunya mnavijua vipanya [emoji1787][emoji1787]da hizo taka taka zimenikumbusha dar es salaam ya 1993 to 1996,kabla ya hapo pia kulikuwa na gari tunaziita "chai maharage" sijui kenya zipo hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…