Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya itawezaji kulisha Somalia wakati Kenya yenyewe inslishwa na Tanzania?
 
Wanaokufa kwa Njaa Kenya ni Turkana, Samburu, Kilifi, Pokot, mijikenda na baadhi ya maeneo ya kazkazini magharibi, hao wote ni wasomali?, Wacha kujitetea, Kenya mlianza kufa kwa njaa kuanzia enzi za ukoloni hata kabla ya vita kuanza Somalia.
 
Hakuna ukweli wowote wewe uijui dunia tuliyopo,mafisadi wa kimataifa wanapokuja wanakuja na mambo mengi ya kifisadi ,sikuizi wazungu wanatupiga kwa gharama kubwa katika kila kitu ,mfano wanakupa mkopo wa kujenga sgr na kampuni wanalazimisha wao itakajo jenga ili wakupige ,hapa tz sgr ya mafuta ilitakiwa kuwa bei kubwa sana tena kwa shariti la wachina ndiyo wawe wajenzi tulipo kataa wachina ,wakakataa kutoa mkopo unajua kwanini ,kwa sababu mradi ulikuwa wa kifisadi husio endana na value of money
 
Tena magufuli angekuwa hai ndiyo ingekuwa balaa kubwa sana kampeni ingetawaliwa na magufuli tu
 
Wakunya njooni mtufafanulie kwa kiswahili maana sisi wabongo atujui inglishiiii hii habari inasemaje komora096 Tony254
 
Apart from being stuck in traffic, matatus are better than your failed BRT. It`s you have accepted that your BRT has failed miserably.

Before ya kusema ni ufisadi jiridhishe kwanza kwenye mchanganuo wa cost.Ni lazima tujue pia kwa Sasa kutokana Covid materials duniani ni very expensive kwa Sababu ya low production na pia huenda Kuna design changes.Sitaki kuishi kwa hisia labda wachumi watusaidie.Tujiulize pia kipande cha Dar-Moro kilicho kwenye Tambalale tu kilicost how much?
 
We mjomba una tatizo la ubaguzi wa rangi...
Afu sio kitu kizuri kwa zama hizi
 
Small Mogadishu! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Trillion 2.7 Makutupora Tabora kimekizidi kilometers 68 tu tena za mapishano ya train lakini cha kushangaza ndio kimekua trillion 4.4

 
Umeona mkuu Eastleigh yenyewe naletewa bila kuagiza? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 2061264

Bila kuagiza mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Noma sana. Inaitwa service exceed expectations. The Customer is delighted [emoji1787]
 
Bila Upendeleo wowote..I think Elevated Railway inahitajika Zaidi Kilwa Road to Mbagala na Kongowe ..and Road to Pugu..more tha Tegeta ..imo ..watu wengi wanaishi Mbagala hata hii BRT mpya haitatosha
Upo sahihi population ya mbagala sio mchezo ingewezekana kungekua na barabara ya kuchepusha haswa maroli. Pia Nyerere road inabidi iwe pana hadi pugu hivi . Maana hizi sehemu zina miji iliyopo kwa ndani inawatu wengi mno
 
Nilijua ungejibu hoja kwa hoja kumbe umeleta domo tupu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mpumbavu kweli we jamaa.. our daladala system is better than your matatus zenye hazina hata stops ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…