Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

vitu kama hvi hamuvitaki 😂😂😂😂

Empty talk 😂😂😂

2887556_12572740_screenshot247_png917600ab8427a3787c148b21cf9263da.png
 
Hii shipyard ilianza kujengwa before ya kisumu and Mombasa, saa hii ya kisumu and Mombasa are complete na hueziona vumbi hata moja lakini ya mwanza ni vumbi na matope from left to right 😂😂😂
ww huna akili wewe hio shipyard imeanza ujenzi 2019 na ujenzi wake umeisha 2020 au unataka kubishana na mm 🤣🤣🤣
na kupa na nyingine hii👇👇👇👇
 
Wakuu hii ngoma inaisha, hapo kitabaki kipande kidogo tu cha Tabora-Isaka ambacho piga ua atapewa mturuki.

mwanzo nilikuwa nataka zote apewe mturuki.. ila naona Makutupora-Tabora apewe mturuki.. aendeleze project yake kutokea Moro-Makutupora, na kipande cha Tabora-Isaka apewe mchina ili aendeleze project yake kutokea Mwanza-Isaka.. wote wakutane Tabora
 
Back
Top Bottom