Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwaka unamwishia Jamaa vibaya mnoo[emoji41]
 
Two weeks ago [emoji1787]. Msikilizeni Mkulungwa [mention]ichoboy01 [/mention] kuhusu maneno ya wa K [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwenye mia chukueni moja muondoke na musitazame nyuma tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Amesema 12 lane kwani hujui kusoma?
 
haya nioneshe hayo majengo ya kijitonyama sasa hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm nimeona jengo hili au nasema uongo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2058157
Bongolala, ubishi haisadii chochote. Hii picha inaonyesha vizuri sana Morocco na pia inonyesha hilo jumba la ghorofa (blue in colour) on the left with a slanting rooftop.

The same building ya blue with a slanting rooftop ndio hii hapa kwenye hii picha upande wa chini kulia.
Hiyo picha ya pili tunajua ni kijitonyama. Does it mean that these two pictures were taken in different places while one of the buildings is clearly visible in both pictures? Danganya wajinga wenzako
 
Two weeks ago [emoji1787]. Msikilizeni Mkulungwa [mention]ichoboy01 [/mention] kuhusu maneno ya wa K [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wakenya ni waongo sana hawa jamaa, yani yupo radhi aongee uongo ili aonekane yupo vizuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, uwanja hauna viti na analazimisha eti uko na capacity ya watu 60k πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Service lane inaishia hapo mbele ndiyo una count [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You are a fool those are service roads hazi ishi they are all the way to the end
 
You are a fool those are service roads hazi ishi they are all the way to the end
Kalilie twitter, c wewe huwa unatoa humu hoja unapelekea KoT wenzako kule mlie pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kulazimisha mambow mzee, picha ya kwanza huo mtaa unaitwa Moroko ni mbali kidogo na kijitonyama, dar huijui na unalazimisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unashida gani wewe πŸ‘‡ kijitonyamahayo majengo yapo kwenye barabara moja Ila ni mitaa tofauti hiyo, kuna mpaka shughuli za kiuchumi kimpangilio wake, stendi ya mabasi n.k .. hiyo mitaa ya Sky tower ndio makumbusho uko. Ila huku πŸ‘‡ni Moroko.. pia kuna mpaka stendi za daladala na mwendo kasi kimpango wakeπŸ‘‡οΏΌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…