Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiongee usichojua. Hizo kodi kwenye hizo nchi zinakusanywa na kampuni za kibinafsi zilizojenga miundo mbinu hizo na kodi hizo zinaenda kwenye kampuni hizo za kibinafsi. Soma zaidi au tembea zaidi utaona ninachosema.
 
never ever majengo huku ni mengi kiasi kwamba dar alone ina density kubwa ukusanye nairobi+ mombasa + kisumu combined ndio mutafkia nusu yake 🀣🀣🀣
ichoboy unanishinda sana. tuta post hii picha mara ngapi ndio upate kuamini nbi ni kubwa kiasi. ata nimechoka
 
Well said
 
Utaendelea kulia wakati wakenya wanaenjoy the beauty and efficiency of the expressway. Alafu uje tuongee after Tanzania imepata hata 500 meters of elevated road🀣🀣
munaenjoy kulipia ushuru wa kupita kwenye expressway alaf munaona wachina wameshika ajira zenu 🀣🀣🀣 kwa miaka 30 na hamuna chakuwafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…