Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kenge wa kizungu,ni swala la muda utaelewa kwa nini hakuna bundi mwenye makengeza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na ndo ujue nyie ni bongo lala yaani kenya na upungufu wote huu...idadi ya wati iko chini, madini hatuna...ardhi ya rotuba hatuna lakini bado sisi ni ma bossi wenu....dar...yaani mkenya atakupigia kiingereza na kiswahili taratiibu...yaani hekima tu... nyie mnazo hizi zote lakini bado ni wadogo wetu.... haya heb niambie kama sio uzuzu huu ni nini?
 
Bichi vimbwi vijilima nyinyi
 
Punguza gum msela🤣🤣🤣🤣🤣
Ila mna vuna chumvi🤣🤣🤣🤣🤣hivi akili zimo au?kuongea kingereza ndo nini? Umeskia bongo watu hawajui kizungu? Mchina anaongea kizungu? Kuwa mkunya ina hitaji moyo ukweli mnapenda sifa za kijinga.
 
dah,chief ungemuigizia kidogo,ungetoa na machozi kiasi
wajua mbongo utamjua tuuuuu, no wonder the lady was quick to notice ugeni wako....uoga uoga , kuzubaa zubaa na ka ushamba fulani....kutishika tishika na ma flyovers zetu, vile zilimtisha bab levo....bichi vidimbwi nyinyi
 
Labda nikunyooshe Mbongo anajulikana popote anapoenda sababu ndo hizi-
1.Ni mstaarabu Sana
2.ana moyo wa huruma
3.ni mchangamfuu ana tabasam anapoongea
3.hana tamaa anaridhika hana tabia za janjajanja
4.mbongo ni msafi😃
 
wajua mbongo utamjua tuuuuu, no wonder the lady was quick to notice ugeni wako....uoga uoga , kuzubaa zubaa na ka ushamba
kuzubaa, mmezubaa nyinyi, mpaka mnaingizwa mjini na wachina kwenye ujenzi wa barabara.
...kutishika tishika na ma flyovers zetu, vile zilimtisha bab levo....bichi vidimbwi nyinyi
FYI, baba Levo was running game on your ass.
 
Anajishaua tu huyo, we nenda naye chamber mwambie Buda kama una passport kesho njoo bongo kuna mchongo wa kupiga mjengo kama wenyewe wanavyoita uone kama hujapata wageni 15 nyumbani kwako……
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom