babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,725
Tanzania ilipofufua reli yake inayoelekea Kilimanjaro - Arusha wala haikukwama njiani na sasa inaelekea karibu miaka miwili inapiga kazi vizuri.
Lakini kule failed state waliamua kuiga Tanzania kufufua reli yao lakini cha kushangaza ndani ya siku nne tangu izinduliwe tayari imeshawama vichakani. [emoji23][emoji23][emoji23]