Nikama ushatumia mnaziHahahaha, wacheni kujidanganya, wakenya kazi yenu ni Domo kubwa, Kiswahili kilizaliwa Tanganyika, kikalelewa na kukulia Zanzibar, kikaenda Kenya kikaanza kuugua. Wacheni kupoteza muda Kiswahili ni lugha ya Tanzania. Ukijaribu kuuliza nani aliyetoa hizo taarifa za Mijikenda na Taita, lazima atakua ni mkenya[emoji23][emoji23][emoji23], kwanini asitaje kabila hata Moja la Somalia, Tanzania au Mozambique?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I know you can't comprehend suchI just smell alot of bullshit
Ni ukweli kumbe ushajijua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bange mbaya sana,
chokoraa ni chokoraa tu
Hapa si umejicontradict ama?Kenya maendeleo yapo tu Nairobi king of slums na kdg Mombasa old village kwingine kote ni ushuzi tu, unakuta sehemu ni pori lkn ukabila wa wanasiasa unasababisha pawekwe flyover hata kama ni cheap. Tz huwezi kuta upumbavu huo.
We never adopted it as a national language as Tanzania didSasa mbona Wakenya hamjui kiswahili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watch video za devolution in Kenya online then you will be shocked what transformation is happening MashinaniKenya maendeleo yapo tu Nairobi king of slums na kdg Mombasa old village kwingine kote ni ushuzi tu, unakuta sehemu ni pori lkn ukabila wa wanasiasa unasababisha pawekwe flyover hata kama ni cheap. Tz huwezi kuta upumbavu huo.
This are not electric they are makeshift made by installing batteries it happens even here in Kenya it can be done even by a mechanic#chugakambele
[emoji1241]baby
arusha wamefikia kwe electric vehicle maana yangu makampuni (production wise
ki'sumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1139][emoji90][emoji205] pervers [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2050334
Mmh hapo bro sijajua itakua vipi, lakini kesho kutwa ntapita uko, nitajaribu kuulizia kwa wakandarasiKaka hapa vituo itakuaje
Hello Kanairo ni nini hiki umepost.?
Mzee hiyo ni village nzima there's everything down there, babaa u should come to Arusha and get to enjoy yourselfhehe ati mall....ok.Looks like some colonial house
Huyo jamaa ni tahira haswaa .. akili zake zinamtosheleza mwenyewe 😂😂Source yake ni Wikipedia ambayo hata mimi naweza login muda huu nikahariri na kuandika asili ya kiswahili ni Uganda. [emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize mwenzako hizo picha ni za miaka gani.?exactly....now this is the arusha I know
hatujui kiswahili ajee!!!,??.Sasa mbona Wakenya hamjui kiswahili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thika ina airport? Ina universities? Ina world class hospitals? Ina stadium?si uende tu thread ya Thika vs Dodoma unasumbua tu......