The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Safi sana mkuu, ss waambie ukweli hawa wenzio wanaojaribu kulinganisha Arusha na Kisumu.Nakubali juu serengeti iko ndani ya arusha, gran melia na ngurundoto, they are nice hotels
Safi sana mkuu, ss waambie ukweli hawa wenzio wanaojaribu kulinganisha Arusha na Kisumu.Nakubali juu serengeti iko ndani ya arusha, gran melia na ngurundoto, they are nice hotels
Wewe KENPAULITE nakuelewa hujawahi kuwa muongo wala mnafki. Ni miongoni mwa Wakenya wachache sana ninaowaamini.Nakubali juu serengeti iko ndani ya arusha, gran melia na ngurundoto, they are nice hotels
Kajilipua 🤣🤣🤣Ni wivu ndio baba yako mzazi?nenda ukanywe githeriakili irudView attachment 2049967View attachment 2049969
Hahaha kile nimesema hapa ni only 2 factsHuyu Mwamba kaamua kufunguka, ila hizo mbuzi zingine zinakaza fuvu tu
The best 007 mpaka malazy wenzako wanakuchukia 🤣🤣🤣Bruh you don't have to use rendas and old photos .. usiimpe nguvu jirani.. Arusha ni kubwa mno na Ina maeneo ya wadosi mengi mno.. tutafute picha za Arusha ya leo
Hapa alikuwa anapigilia msumari wale Wakenya ambao hawaijui ArushaHahaha kile nimesema hapa ni only 2 facts
1.Kisumu 2,086 KM2 Vs Arusha Land Size 37,576KM2
2.Part of serengeti is in Arusha, Serengeti has many hotels
sasa you can battle estates, infrastructure, universities etc





Kwa ushuzi huu uliooleta👇👇🤣Sasa natangaza kwamba battle ya Kisumu vs Arusha imekufa rasmi, tutafute battle zingine.
🤣🤣🤣🤣Arusha game park.View attachment 2049881View attachment 2049882
Niambie kuna shida gani hapo japo ni picha ya mwaka 1990.
Kubali hamna. Modern peleka TandaleKuliko kuwa na huo uchafu ni heri kuchelewa na kujakupata modern
I had peep that and I just had to chuckle...it would be sad if it wasn't so funny 😂😂😂The best 007 mpaka malazy wenzako wanakuchukia 🤣🤣🤣
Wewe kijana wa Tandale uliniuliza nikutajie majina ya yale maeneo. 'Research' yako ilikuletea nini?Niambie kuna shida gani hapo japo ni picha ya mwaka 1990.
Niambie kwanza hii picha inashida gani.Wewe kijana wa Tandale uliniuliza nikutajie majina ya yale maeneo. 'Research' yako ilikuletea nini?
How is this related to the question you asked me wewe kilaza?Niambie kwanza hii picha inashida gani.View attachment 2050133
new York size is 783 km 2.........I know arusha very well....nothing out of the ordinary......we aren't talking about administrative Arusha but the rugged arusha town......there are grass thatched houses in arusha provinceHapa alikuwa anapigilia msumari wale Wakenya ambao hawaijui Arusha![]()