Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mumekubali si mlikua mumekataa. 😂😂😂 Lazima mkimbzwe ndio mukubali, sisi hatujawai kata, kwanza tunapenda our matatu culture.
😂😂😂 Matatu ni culture au ni umaskini .. by the way, by 2025 hizo mini buses zenyew zitaonekana kwa nadra sana hapo mjini kati.. si unajua phase 2 and 3 za BRT zipo njiani. U/C, na lengo letu ni kupiga phases 6 .. hii DSM ni balaa buana, kwenye masuala ya usafirishaji na kupunguza traffic congestion.. tuko poa sana
 
Hii picha inanichekesha sanaView attachment 2048021


Dar CBD ni ndogo sana kwa Nairobi, yani JNIA Airport hata inawaka kushinda CBD. Aibu gani hii. Barabara mingi hazina street lights. Hii ni kijiji kubwa tu. 🤣🤣🤣🤣 Mitaa hazina street lights wala high mast lighting.

Image


Compare and Contrast. Nairobi inawaka hadi ndani ya clouds. 🤣🤣🤣🤣
Image
 
Dar CBD ni ndogo sana kwa Nairobi, yani JNIA Airport hata inawaka kushinda CBD. Aibu gani hii. Barabara mingi hazina street lights. Hii ni kijiji kubwa tu. 🤣🤣🤣🤣 Mitaa hazina street lights wala high mast lighting.

Image
Unakuja na huku angau upate nafuu lakini pia huchomoki nakushika kalio pia, street lights ni kama zote picha ni zamani iyo labda,👇hii ni Three kms from CBD
EkGWtWHWoAEEHbk.jpg
634-1024x683.jpg
120525530.jpg
Pix+00.jpg
Screenshot_20211217-225634_1.jpg
hadi uko uswazi taa zinawaka kinoma kwenye barabara za uswazi.. NAIROBI usiku sijui itakua ni kituko gani 😂😂😂
 
Dar CBD ni ndogo sana kwa Nairobi, yani JNIA Airport hata inawaka kushinda CBD. Aibu gani hii. Barabara mingi hazina street lights. Hii ni kijiji kubwa tu. 🤣🤣🤣🤣 Mitaa hazina street lights wala high mast lighting.

Image


Compare and Contrast. Nairobi inawaka hadi ndani ya clouds. 🤣🤣🤣🤣
Image
Picha ya Dar imechukuliwa kutoka umbali na ya Nairobi imechukuliwa kwa Karibu
 
Unakuja na huku angau upate nafuu lakini pia huchomoki nakushika kalio pia, street lights ni kama zote picha ni zamani iyo labda,👇hii ni Three kms from CBDView attachment 2048036View attachment 2048043View attachment 2048046View attachment 2048048View attachment 2048051hadi uko uswazi taa zinawaka kinoma kwenye barabara za uswazi.. NAIROBI usiku sijui itakua ni kituko gani 😂😂😂
Yani Airport inawaka kushinda CBD 🤣🤣🤣 🤣🤣🤣 Aibu kubwa aiseeee, mitaani mingi kumbe ni giza tu hakuna hata mulika mwizi.
 
Yani Airport inawaka kushinda CBD 🤣🤣🤣 🤣🤣🤣 Aibu kubwa aiseeee, mitaani mingi kumbe ni giza tu hakuna hata mulika mwizi.
Ila we jamaa ni hatari picha umeweka mwenyewe na taa zinaonekana zinawaka kila mahali n bado unasema hakuna hata mulika mwizi 😂😂😂, mzee nimekuvulia kofia, kumbe ndio tabia yenu kupinga mpaka vinavyoonekana kwa macho ya Kawai
E5NBwLPWEAAFiqY.jpg
hilo eneo linawaka taa ni mkoa mzima mzee 👇
Screenshot_20211217-234153_1.jpg
 
Lengo lako unataka tuwe na space program ili tutatue tatizo gani ambalo ni kipaumbele kwasasa hapa Tanzania?, Mkuu kupanga ni kuchagua, hizi nchi zetu ni masikini Sana na uwezo wetu ni mdogo Sana wa kufanya Mambo mengi kwa pamoja, "space program" kwa nchi ambazo hata maji ya kunywa hayajawafikia wananchi wote, bado hakuna madawa ya kutosha, wananchi hawana chakula, bado barabara nyingi ni vumbi hazipitiki kipindi cha mvua, ni serikali isiyojitambua ndio itakimbilia kuwekeza katika space programs.
So Una-admit kuwa Tanzania bado ni sleeping giant? Kwasababu kama nchi yenye uhuru wa miaka 60 na bado barabara zina vumbi na umeme ni tatizo inamaanisha kuwa Kwa miaka yote hii hata haya mambo Ambayo unaita ni ya “muhimu zaidi” bado hayakuwa na priority Kwa serikali.

Kwa nchi yenye rasilimali kama Tanzania, uongozi bora ungekuwa umetuweka mahali ambapo Taiwan au South Korea ipo leo. Lakini kwasababu ya miaka ya uongozi mbovu na sera za kiuchumi zisizo na tija, bado tupo kwenye hali ya chini.

Unaponda space program? SGR yenye gharama ya matrilioni ya shilingi Mbona huisemi? Hudhani kuwa hizo fedha zingejenga hospitali nyingi kama Mlomganzila kote nchini? Lakini wote hapa tunakubaliana kuwa SGR ni muhimu kwenye kuinua sekta ya usafirishaji nchini Na pia kuwa na reli ya kisasa inatuweka kwenye sehemu Nzuri kiuchumi.

Space program itaongeza hulka ya sayansi na teknolojia nchini. Na tunaweza kuanza kidogo kidogo. Hakuna ulazima wa kuwekeza pesa nyingi Kwa wakati mmoja.
 
Ila we jamaa ni hatari picha umeweka mwenyewe na taa zinaonekana zinawaka kila mahali n bado unasema hakuna hata mulika mwizi 😂😂😂, mzee nimekuvulia kofia, kumbe ndio tabia yenu kupinga mpaka vinavyoonekana kwa macho ya Kawai View attachment 2048070hilo eneo linawaka taa ni mkoa mzima mzee 👇View attachment 2048074
Taa za nyumba hizo. Kama taa zaa mulika mwizi zingekua zingeonekana.

Hii ndio taa ya mulika mwizi.
High Mast Lighting in Girapeth , Nagpur , Omni Power Systems | ID:  5111779030
 
Back
Top Bottom