Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Unapigia mbuzi guiter bure., huyu ata umuonyeshe kitu wazi wzi atapinga kwa kiswahili mufti., anaandika tamthlia kwa hasira!.., analazimisha wazo lake kwa nguvu mno 😂 😂 😂Usicompare Kisumu na hizi vijiji vya mashambani, lazima uende Dar ndio upate some services. Kisumu ikona kila kitu ile unaweza pata Nairobi, hadi international brands.